Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Jamaa apunguze mashauzi hajapita jkt kakosa nafasi, punguza majigambo Jombaa, matusi kwa vijana wanaosubiri jkt sio ishu, nimeona thread yako ni kweli kitaa kuna njaa tulia magufuli amekusikia ataachia ajira,

acha mbwembwe za kikuda kutafuta kiki ktk jf
Kuendelea kum tag ndo mnamuongezea kiki..
Chali wa r- chuga Sina mbwembwe ww tukana tuu hayo yote tumepitia tumeacha, na Kama ni bangi tulivuta Sana Zile za Mlima Meru kabisa Ila sasa tumepata elimu tumetulia hatuvuti..nakusubiri utukane tena........ Tukana Nanga....
Jamaa mbona mpotezeeni tu, hajielewi.
 
Jamaa apunguze mashauzi hajapita jkt kakosa nafasi, punguza majigambo Jombaa, matusi kwa vijana wanaosubiri jkt sio ishu, nimeona thread yako ni kweli kitaa kuna njaa tulia magufuli amekusikia ataachia ajira,
Cha muhimu vijana wasikate tamaa
 
Kuendelea kum tag ndo mnamuongezea kiki..

Jamaa mbona mpotezeeni tu, hajielewi.
Nimewasoma shefwaa ,, ila huyu Jamaa ni snitch, yuko mtaani anatafuta ajira analeta hapa usoja uchwara,wakufunzi wametulia zao kambini, ww unaleta umaarufu wa kipimbi, Kama huna kazi acha kuwatisha vijana, nakupa kazi ya kufanya futa sms na picha ktk simu yako, sio unaleta tabia za kike hapa, masoja hawana kiherehere Kama chako,
 
Mkuu Nanga wa Kata nadhani itakuwa ni busara kuandika Comments zako pasipo matusi. Inawezana mazingira unayoishi umezoea matusi ila tambua kuwa hapa JamiiForums ni mazingira tofauti na huko ulipo.

Wengine hatujazoea matusi, tukifika huko vikosini tutakuwa tumeshajiandaa kisaikolojia ili kuendana na mazingira ya huko ila kwa sasa naomba uache hizo lugha zako, JF inasomwa na hata wasio member wa huu mtandao.

Shukrani sana!
 
Nimewasoma shefwaa ,, ila huyu Jamaa ni snitch, yuko mtaani anatafuta ajira analeta hapa usoja uchwara,wakufunzi wametulia zao kambini, ww unaleta umaarufu wa kipimbi, Kama huna kazi acha kuwatisha vijana, nakupa kazi ya kufanya futa sms na picha ktk simu yako, sio unaleta tabia za kike hapa, masoja hawana kiherehere Kama chako,
Ndo maana Mungu alisema ktk Mithali 4:13 Mkamate sana Elimu usimuache aende zake. Kwa anayoongea Jamaa amejionesha yeye ni wa namna gani.
 
Back
Top Bottom