junkle
Member
- Jun 28, 2016
- 52
- 27
Huo ndio nauckia kwako kwa mara ya kwanzaWakuu kuna wimbo mmoja huwa unanitia sana mzuka kama kuna mwenye nao.
Unaimbwa hivi
Aye tunaondoka haya twende tunaondoka
Aye Zelina eeehh Zelina haya twende......
Huo ndio nauckia kwako kwa mara ya kwanzaWakuu kuna wimbo mmoja huwa unanitia sana mzuka kama kuna mwenye nao.
Unaimbwa hivi
Aye tunaondoka haya twende tunaondoka
Aye Zelina eeehh Zelina haya twende......
Kawimbo fulani hivi ka moral, nadhani wazalendo waliokuwa wana fight toka mwaka jana watakuwa wanaujua.Huo ndio nauckia kwako kwa mara ya kwanza
Jombaa hiyo ngoma ipo, ninayo audio yakeWakuu kuna wimbo mmoja huwa unanitia sana mzuka kama kuna mwenye nao.
Unaimbwa hivi
Aye tunaondoka haya twende tunaondoka
Aye Zelina eeehh Zelina haya twende......
Nipe wasap yako nkutupie mkuuuuuu .Wakuu kuna wimbo mmoja huwa unanitia sana mzuka kama kuna mwenye nao.
Unaimbwa hivi
Aye tunaondoka haya twende tunaondoka
Aye Zelina eeehh Zelina haya twende......
Nakutumia inbox mkuu.Nipe wasap yako nkutupie mkuuuuuu .
TayareeeeeNakutumia inbox mkuu.
Poa poa mkuu nimeipataa.Tayareeeee
Furesh Furesh tunasubiri baada ya nusu saaJambo Afandee ,,! niko na habari mpya nipen kama nusu saa iv anko anaongea na Baba hapa nasikilizia
Mkuu nimecheka saanaafu nyie wazalendo acheni
chechepo....tulieni nyie unasubiri ripoti za uyo paka baba ake ndo nani tunakaa na wakubwa uku lakin hawasemi......jeshi co danguro la kuropoka ovyo
Acha kuturusha wwNgojen baba bado anaongea na uncle
Acha kuturusha ww
Mkuu vp ,bado hawajamaliza kuongeaNakurushaje mkuu
kozi ya maelekezo hiiKumbe fire wanaapa mwezi wa kumi. Safi sana kijana, fight umalizie coz ucje ukatoroka.....
kozi ya maelekezo hii
Kuna ipi mpya mkuu wa kaya Aleyn.Baba Kantuma kaeni mkao wa kula.