Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

wana2tengenezea mazingira 2liokoxa wilaya 2pate kwa kna baba kani2ma
Baba kantuma lazima iwepo, hawa wa wilaya na mkoani wataanza kwenda ili kusafisha kambi na mambo mengine, kisha Baba kantuma ndo wanakuja.
 
Wakuu naombeni ushaur,,mimi nilifanya usaili Mkoa wa Iringa na nimepangiwa 842kj ,,sasa nimekaa sana hapa iringa kusubir tarehe ya kuondoka ila bado hakuna dalili ,,sasa nataka kuondoka kurudi nyumban sumbawanga,, je naweza kuruhusiwa kuondoka na vijana walioko Sumbawa nga ambao tumepangiwa kambi moja??wakati ukifika

Mkuu unaundugu na Luten kanali kita yule mshauri wa mkoa?

Unaweza ukaondoka mkuu Ila lazima safari yako yakwenda kikosini uanzie mkoa ulioingilia, na ndio maana hizo fomu namba 27 kila mkoa Una za kwake na namba zake.
 
kama maisha yamekupga ukaamua kuja huku hakika utaweza lkn km home umeacha nyumba 4 magari 8 housegirl mashamba hakika huku hapakufai utatoroka tu, huku tunataka watot wa maskiniView attachment 357441 View attachment 357442 View attachment 357443 View attachment 357444 View attachment 357445 View attachment 357446 View attachment 357447 View attachment 357448 View attachment 357449 View attachment 357450 View attachment 357451 View attachment 357452
daaaaaaa!mbio nje nje kama style ndo hizo
 
Mkuu unaundugu na Luten kanali kita yule mshauri wa mkoa?

Unaweza ukaondoka mkuu Ila lazima safari yako yakwenda kikosini uanzie mkoa ulioingilia, na ndio maana hizo fomu namba 27 kila mkoa Una za kwake na namba zake.
Hahh sina undugu na kita ,,
 
Wakuu nimepata habari nyingine kuwa mwezi ujao mambo yataanza kukaa tena kwenye mstari.
Tarifa zako ka mkubwa UA nnachokipendea UA zinakuja zikiwa na asilimia kama 80% za ukweli ndani yake I hope itakua ivo i will kip on waiting for more info
 
Kuna Facts na Perceptions
Hapa nyingi hapa ni Perceptions and Rumours kwa kua hakuna ajuae siku wala tarehe ya kuondoka isipokua watu wanapercept tu Mara Mwakani hz nafasi zinarudiwa upya tena , mara mwezi August, sept.. etc.
Mi nadhan Jeshi sio Chama cha siasa wala Club ya soka , siku ikifika tutajulishwa na sisi Tupo.
 
Unachosema Makanya ni sahihi kabisa, mimi kuna mtu mwazoni mwa mwezi ameniambia ishu kwa sasa imesimama mpaka mwezi wa 10.
Ila Jumapili nimeambiwa Ishu ni mwezi wa 8, hawa ni watu wawiili tofauti, huyu aliyesema October sijaongea nae mda kidogo na ni mtu ninayemuamini kwa kiasi flani.
 
ngoma mwezi wa 9................mtaicheza tu wazalendo

Makanya tulia mwez August utaenda
 
Jambo jambo humu ndani vip wadau.. Bado naona kimya kimetawala MMJKT sijui ndio wanasubr kupandishwa vyeo na wao any alert please
 
Back
Top Bottom