Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,295
- 4,911
Kuna siri kubwa katika kujali usafi na utunzaji wa mazingira yanayotuzunguka ardhi inanguvu kubwa sana tangu kuumbwa kwa adam na Eva waliwekwa kwenye bustani ya Eden bustan safi yenye kupendeza na kuvutia hili ndilo lilikuwa kusudio la Mungu binadam waishi katika mazingira yanayopendeza na yanayovutia kwa macho mwanzo 2:8 pale Eden Adam na mkewe walikuwa wanakula bure baada ya adamu kufukuzwa ilitakiwa akaitengeneze bustani yake mwenyewe kwa jasho yenye kupendeza ili aweze kuishi na kupata matunda
Wenzetu nchi zilizoendelea wanachotuzidi wanaishi katika kusudio la Mungu alivyotaka tuishi walishajifunza jambo hili kujali mazingira yanayowazunguka na ndio mana wanazidi kupata mafanikio Kuna jambo hili wengi hawalijui ukiyajali mazingira yanayokuzunguka na maarifa yanaongezeka
Afrika inabakia kuwa bara la watu wengi masikini sababu wengi hawajali usafi na utunzaji wa mazingira kama mazingira yanayokuzunguka ni machafu hata uwezo wako wakufikiria unapungua maarifa yanapungua hapa mfano mzuri Tanzania asilimia kubwa ya nyumba hazina mashimo ya maji taka yakuogea na kufulia uchafu kila mahali misingi inayotililisha maji ni michafu nyumba hazipandwi maua au miti kitu kingine utakuta mtu kapanga matunda anauza karibu na msingi mchafu hili sio kusudio la Mungu kuishi kwenye maeneo machafu
Mungu hawezi kuonekana katika mazingira machafu tunajifunza pale Musa alipoambiwa avue viatu vyake mahali pale ule ni mji mtakatifu kutoka 3:5