mangiakimu
Member
- Feb 26, 2012
- 6
- 0
wiki moja iliyo..
pita kulikuwa na habari za kulazwa hospitali huko ujerumani kwa mtajwa hapo juu. tunaomba mnaojua habari zake mtuhabarishe maendeleo yake ya afya. mjuavyo maisha ya kiongozi ni kama kioo hivyo lowasa ni kioo pia