Madudu ya ajira mpya za walimu 9,800. TAMISEMI tunaomba majibu

Al-shabaab

JF-Expert Member
Aug 24, 2013
1,791
617
Jana waziri wa tamisemi alitangaza majina ya waliopata ajira lakini ajabu ukiangalia kwenye list utaona mtu kasoma MATHEMATICS ila kaandikiwa bachelor of arts

Huku akisema taasisi zaidi ya kumi zimehusika kwenye huo mchakato ikiwemo takukuru

View attachment 2274336
Screenshot_20220627-150003.jpg
Screenshot_20220627-150420.jpg

View attachment 2274339View attachment 2274340
 
MATH unaweza kuisoma na GEOGRAPHY, ECONOMICS, ambayo NI masomo ya arts
Sawa ikiwa hivyo huyo mtu ataitwa amesoma bachelor degree science sio bachelor degree art.

Hiyo ni kombi ya PGM iko science mkuu akichagua chuo huyo anakuwa degree ya science na hapo ndo ataweza kuchagua math na geo n.k ndani ya comb yake hyo.
 
Science ni physics, chemistry na biology
 
Back
Top Bottom