Professor of jungle
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 411
- 773
Kutokwa na ute mzito kwenye uume wakati wa haja kubwa je ni tatizo?
duh kweli kwa hili ma-Dr. wanahitajika tena haraka.i hope they are on way.Kutokwa na ute mzito kwenye uume wakati wa haja kubwa je ni tatizo?
@Koromeo Hiyo inaitwa Madhii sio Tatizo ni kwa sababu hujafanya mapenzi siku nyingi. Kuna watu wengine huku wanatokwa kama wewe ila wakati wanapokuwa wanapokuwa wana kojoa inatoka hiyo inaitwa Madhii usiogope ni kawaida tu . Je wewe unaye mchumba ? au umeowa?Kutokwa na ute mzito kwenye uume wakati wa haja kubwa je ni tatizo?