Madhara yatokanayo na unywaji wa Red bull

Shukrani sana kwa kutoa hili somo bado kuna watu wengi wanafikiri wakinywa red bull wanaonekana wakisasa!
 
Baada tu ya kumaliza kusoma hi thread imebidi nim-call jamaa yangu huwa anachanganya na Valuer, nimemweleza ghafla simu ikakata kumbe aliiangusha kwa mshangao, mi nilidhani amezimika!!!

Asante kwa taarifa.
 
mmmh Noma!!
images

images
 
At one point I was working too much and used alot of Red Bulls to ernegize myself....by the time I went for check up my blood pressure was shooting up at alarming speed! Dr alinishauri niachane kabisa na cafaine na mambo ya Red Bull! Ila jamani bado sijaacha isipokuwa anachosema mtoa thread kinawezekana ni sahihi kabisa
 
Hii habari inaukweli sana wandugu. Wakati niko high school nilikua nakunywa redbul ili kukesha nite. Baada ya mda kichwa kikawa kinauma sana nisipotumia. Likizo ya kusubiri chuo kikuu nikawa nakunywa sana na valuer. Siko moja nikapoteza faham. Nikaenda chuo na kusomea medical science. Wakuu mwaka wa 2 kuja kusoma contents na kufanya research ya hizo 'energy drinks' ni NOMA! Halafu amini usiamini nchi za ulaya zina content tofauti na zinazopelekwa asia na africa. Kuja bongo sista du bila ya kupiga led bulu hajatoka out.
 
Mkuu kunam2 nilishudia amekufa baada tu ya kunywa hii kitu 2katake easy kumbe ni noma du, mimi mwenyewe nilkizipika castle kadhaa au nikiamka nazo huwa natuliza mzuka kwa Red bull baridi kumbe nilikuwa na beep kifo mama yangu nitamwambia wife achanenayo
Angalia nyekundu. Nashangaa kuwa ilishuhudia mtu amekufa na bado unatuliza mzuka na RedBull baridi. Lakini ni kawaida yetu binadamu, kila kinachokatazwa ndo huwa tuna usongo nacho. Mfano, kila siku tunaona madhara ya sigara na bado tunapuliza.
 
Thanks kuna jamaa yangu nitamshauri aache. Naona huwa anachanganyaga na konyagi na kisha huwa sijui anakwendaga wapi.
 
Tumekupata na kukuelewa sana ila mimi nilishaacha zamani baada ya kuona mabadiliko yasiyo ya kawaida nikinywa red bull. Na niliacha mara moja hivyo leo umenipa leseni kabisa ya kuacha milele
 
Glucuronolactone is a naturally occurring chemical that is an important structural component of nearly all connective tissues.Glucuronolactone is also found in many plant gums.

Glucuronolactone is a white solid odorless compound, soluble in hot and cold water. Its melting point ranges from 172°C (341.6°F) to 175 C° (347 °F). The compound can exist as non-cyclic aldehyde or as cyclic hemiacetal ("lactol") form.


Lactol form of Glucuronolactone


It has received some notoriety due to urban legends that it was a Vietnam War-era drug manufactured by the American government. The rumor goes on to say that it was banned due to several brain tumor-related deaths. The rumor has since been proven false, as neither the cited British Medical Journal article nor the "banning of its consumption" ever occurred. Furthermore, no warnings appear on the Food and Drug Administration website regarding its potential to cause brain tumors or other maladies.


Glucuronolactone is rapidly absorbed and metabolised into non-toxic metabolites such as xylulose. In addition, humans may be able to use glucuronolactone as a precursor for ascorbic acid synthesis.[3] According to "The Merck Index", it is also used as a detoxicant.[4]
Glucuronolactone is a popular ingredient in energy drinks with claims that it detoxifies the body. Although levels of glucuronolactone in energy drinks can far exceed those found in the rest of the diet, the European Food Safety Authority (EFSA) has concluded that exposure to glucuronolactone from regular consumption of energy drinks is not a safety concern (No Observed Adverse Effect Level of glucuronolactone = 1,000mg/kg/day).


http://en.wikipedia.org/wiki/Glucuronolactone


Baada ya kutafuta ukweli wa hii habari inaonekana baadhi ya sababu alizotoa mheshimiwa sio za kweli na labda ni vita ya kibiashara tu. Red Bull Haina tatizo endeleeni kunywa!
 
Ahsante sana kwa thread nzuri,ni kweli kabisa yote uliyosema.
Wengi huwa wanafata tu mkumbo bila kujua madhara,naamini hii itwafungua macho wengi.
 
Reference?

na mimi ni mmoja wapo wa watu ambao walipata athari ya hii kitu redbull. wakati naitumia mapigo ya moyo yalianza kubadilika. mara nyingine nikiwa nimekaa mahali nimetulia ghafla moyo unaanza kwenda mbio kana kwamba nimeshtushwa na taarifa mbaya. na kwa vile nilishaanza kupata ufahamu kuhusu madhara ya redbull niliamua kuacha kabisa huu ni mwaka wa tatu sijasikia mapigo ya moyo ya kienda mbio.
 
Back
Top Bottom