Kama mnakumbuka tulisajili meli za wairan....nimeona kitu kinatokea kuna baaadhi ya nchi sasa hauwezi kutuma pesa Tanzania..hii kitu imenitokea mimi hapa kama wiki moja iliyopita huku Ughaibu nilikwenda kutuma pesa bongo wakaniambia siwezi tuna pesa tanzania kwa kuwa wametu-block pamoja na wairan....ilibidi nishangae kwa kuwa nimeshatuma mara nyingi tu kwa kutumia benki hiyo hiyo kama miezi michache iliyopita. sasa hii kitu imenishangaza sana na nilipojaribu fikiria kidogo nikakumbuka hii issue ya kusajili meli za wairan inawezekana sasa wakubwa wameshaanza kuweka vikwazo