Madhara ya kusajili meli za wairan yaanza kuonekana(some bank block money transfer to Tanzania).....

Mwishowe utaishia na Jamhuri ya Mjini Maghribi weye, mbona Vatican ni nchi na ina eka si eka.
Ha!ha!ha! nkweli! huko asa ndiko nkusudia miye yakhe! twasubiri koti la tanganyika livuliwe ,lichanwe au liraruliwe nkisha kiremba cha pemba kitupwe halafu chupi ya n'jini magaribi, sidirii ya kaskazi,gagulo ya kusini mpaka kila n'zanzibari awe na 'nchi yake'.
 
Hiyo bank haina jina?

Si tuambiwe tukahakikishe kuwa benki hiyo haisafirishi pesa kwenda Tanzania au la?

Au labda sielewi, hivi toa mada hivi unaficha jina la bank kwa mintarafu gani vile?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom