Da Womanizer
JF-Expert Member
- May 24, 2010
- 1,577
- 148
- Thread starter
- #21
Mkuu hebu google Sigmund Freud utaelewa ni kwa nini kila siku habari ndiyo hiyo. Halafu mkuu hili jukwaa ni MMU we ulitegemea ukutane na nini siasa?Hivi kwanini kila siku ni Mademu..Wanawake...Mademu..Wanawake...Mademu ....
Hizi thread zinakera vile! kha!
Wengine sijui hawajakaa kwenye matumbo ya Mama zao? Au walikulia kwenye incubators? khaa!