Da Womanizer
JF-Expert Member
- May 24, 2010
- 1,577
- 148
Katika pita pita zangu hapa JF nimeshuhudia mara nyingi sana hawa mademu wakimwagiwa sifa kemkem...kama vile wana maji ya kutosha, v.s.m. virefu......na nyinginezo nyingi. Sasa juzi kati nimegundua kuwa kumbe hata wao wanyarwanda wanajua kuwa watz wanawasifia, stori yenyewe inakwenda hivi;
Nilikutana na mtoto mmoja wa kinyarwanda na baada ya stori mbili tatu tukabadilishana namba. Kama baada ya siku moja au mbili nikapanda hewani, tukaongea fresh tukakubaliana kukutana sehemu tupige stori zaidi. Basi bwana ile tunafika tu sikumpa nafasi nikamwaga sera, majibu yake ndiyo nilikoma jmanake kwanza anadai wao watoto wa kinyarwanda ni wazuri sana na pia ni watamu sana na wanajua mambo si mchezo. Kwa kifupi alikuwa anaringa mbaya.
Dhumuni hasa la kuandika hii habari ni kwamba ninaomba wajuzi wanisaidie kuhusu mambo yafuatayo:-

- Hivi wanyarwanda hawapendi kujiremba? Manake huyu mrembo hatumii vipodozi zaidi ya mafuta labda na hata pamba zake ni za kawaida sana lakini pia sio kwamba ni mchafu, ni msafi wa kutosha.
- Kuna siku nilitoka naye nje (out). Sasa sehemu tuliyoenda msosi ni expensive kidogo, huwezi amini alikataa kuagiza chochote kwa sababu tu ni expensive na hiyo ni baada ya kumuhakikishia kuwa hakuna wasiwasi nitalipa. Ningependa kujua kama ni tabia zao au kuna kingine hapa.(Anaweza kuwa anatafuta kukubalika zaidi, if u knw wat I mean).