Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,231
- 113,591
Pouwa.
Niaje huko Mpwapwa?
mpwapwa shwari. Utakuja lini kunitembelea?
Nakuja Ijumaa ila sina pa kufikia
Biki ra za kichina hii haaaaa ......
MP.
hiyo avatar yako imenikumbusha meseji fulani...............teh teh
Ila sio mimi eehHata wanaume mna mapenzi ya kichina.
Ila sio mimi eeh
Hata wanaume mna mapenzi ya kichina.
Hivi dogo bado likizo inaaendelea?Ndio yakoje hayo Ustaadhati??? Hebu tupe darasa kidogo
Hahahaaaa vya mchina lazma utumie kwa hiari au lazimami sijawahi tumia ivo vitu vya kichina tangia viingie, lkn cha ajabu nimekaa km mchina
Ila kuna mtu nahisi ni mchainizi humu JF