abdulrahim
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 408
- 286
Kinondoni Manyanya tena nje nje hata sijui Mh Makonda hakuona na hili wakati ule?
Mi nafikiri njia rahisi ni kuanza na mateja ambao wanatumia. Wao ndo waonyeshe wanayapata wapi. Ipitishwe operarion Dar yote kutafuta mateja Dar na ikilazimika wapimwe kuthibitisha wanatumia. Huu ni ushahidi unaoweza kutumika kuwashitaki. Wao wapewe sharti la kutaja wanapata wapi hizo dawa. Itakuwa njia rahisi kuliko hii ya kutaja maana vijiwe vya hawa watu vinafahamika na mtumiaji hajifichi kulingana na hali anayokuwa nayo.
mbona msg fupi hivyo sgr ndo nini jamani lol.Sadali - stand ya bus sgr
Mtaje tuache longo longo.Tatizo hii biashara huwa ma top ni wakuu wa idara furani! mfno hku kitaa kuna kijana anasumbua na hayo mambo balaa! Lakini akienda polisi baada ya dk anarudi tena akiwa ndani ya crusser!! Yaani anatia kero vibaya mmno!
Tumepeleka taarifa husika na hawamzingui sembuse humu!! Kiufupi haya mambo ni yawenyewe hzi nyingine ni porojo tu!Mtaje tuache longo longo.
Humjui Mange kaa kimya.Mange juzi Juzi alizinguana na January Makamba na mwanvita lakini baada ya kupewa pesa katulia Kiimya ! ! Huyo mange ni mjanja wa town anajua kutumia Mitandao kujipatia Pesa , hao anaowataja anataka wampe pesa ili baadae akanushe wana JF kuweni makini sana kuna wajanja wanatumia hii Mitandao kupiga pesa wanabeep chochote kibaya Kwa jamii kisha mhusika huwafuata wakipozwa huja na hoja za kukanusha au kukaa kimya kisha kuwatuma wengine kupinga Kwa wingi sana hadi wachangiaji wengine kuachana na hizo habari.
kama hauusiki kwa nini utumie pesa kumnyamazisha mtu?Mange juzi Juzi alizinguana na January Makamba na mwanvita lakini baada ya kupewa pesa katulia Kiimya ! ! Huyo mange ni mjanja wa town anajua kutumia Mitandao kujipatia Pesa , hao anaowataja anataka wampe pesa ili baadae akanushe wana JF kuweni makini sana kuna wajanja wanatumia hii Mitandao kupiga pesa wanabeep chochote kibaya Kwa jamii kisha mhusika huwafuata wakipozwa huja na hoja za kukanusha au kukaa kimya kisha kuwatuma wengine kupinga Kwa wingi sana hadi wachangiaji wengine kuachana na hizo habari.
Aaah!! Tattzo lako wewe siyo afande!Nikishamtaja/wataja na mimi nitapata donge nono kama Polisi na wenyeviti wa mitaa???
Aaah!! Tattzo lako wewe siyo afande!
Aaaah!!! Mwisho wasiku unakuja kuonekana mbaya hivi hivi!!Kama "Motisha" sipewi, niwataje wa kazi gani?
Aaaah!!! Mwisho wasiku unakuja kuonekana mbaya hivi hivi!!
nani kafungwa maisha????????????????????????????????Aaah! Juzi c moja wa watuhumiwa walimfunga maisha!?au unataka wale wakina nanii!! Kama ni wale thubutuuuu! Utasubiri sanaaa!
Mange juzi Juzi alizinguana na January Makamba na mwanvita lakini baada ya kupewa pesa katulia Kiimya ! ! Huyo mange ni mjanja wa town anajua kutumia Mitandao kujipatia Pesa , hao anaowataja anataka wampe pesa ili baadae akanushe wana JF kuweni makini sana kuna wajanja wanatumia hii Mitandao kupiga pesa wanabeep chochote kibaya Kwa jamii kisha mhusika huwafuata wakipozwa huja na hoja za kukanusha au kukaa kimya kisha kuwatuma wengine kupinga Kwa wingi sana hadi wachangiaji wengine kuachana na hizo habari.
Sidhani kama kuna nia ya dhati kwenye hili. Hawa watu waendelee kukamatwa na mwishowe wataisha tu. Nadhani tatizo kulikuwa na kulindana tu.Ilishafanyika hiyo miaka kadhaa iliyopita, mateja hata siku moja hawataji wanauziwa na nani,
Wasiri sana.