Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

Mi nafikiri njia rahisi ni kuanza na mateja ambao wanatumia. Wao ndo waonyeshe wanayapata wapi. Ipitishwe operarion Dar yote kutafuta mateja Dar na ikilazimika wapimwe kuthibitisha wanatumia. Huu ni ushahidi unaoweza kutumika kuwashitaki. Wao wapewe sharti la kutaja wanapata wapi hizo dawa. Itakuwa njia rahisi kuliko hii ya kutaja maana vijiwe vya hawa watu vinafahamika na mtumiaji hajifichi kulingana na hali anayokuwa nayo.

Ilishafanyika hiyo miaka kadhaa iliyopita, mateja hata siku moja hawataji wanauziwa na nani,
Wasiri sana.
 
Tatizo hii biashara huwa ma top ni wakuu wa idara furani! mfno hku kitaa kuna kijana anasumbua na hayo mambo balaa! Lakini akienda polisi baada ya dk anarudi tena akiwa ndani ya crusser!! Yaani anatia kero vibaya mmno!
Mtaje tuache longo longo.
 
Hawawezi kutaja sababu madawa ndiyo yamewalea kwa fedha hizo hizo wamesomeshwa wakajua kizungu na sasa wanatutia kizungumkuti humu jf
 
Mange juzi Juzi alizinguana na January Makamba na mwanvita lakini baada ya kupewa pesa katulia Kiimya ! ! Huyo mange ni mjanja wa town anajua kutumia Mitandao kujipatia Pesa , hao anaowataja anataka wampe pesa ili baadae akanushe wana JF kuweni makini sana kuna wajanja wanatumia hii Mitandao kupiga pesa wanabeep chochote kibaya Kwa jamii kisha mhusika huwafuata wakipozwa huja na hoja za kukanusha au kukaa kimya kisha kuwatuma wengine kupinga Kwa wingi sana hadi wachangiaji wengine kuachana na hizo habari.
Humjui Mange kaa kimya.
 
kama hauusiki kwa nini utumie pesa kumnyamazisha mtu?
 
Mange juzi Juzi alizinguana na January Makamba na mwanvita lakini baada ya kupewa pesa katulia Kiimya ! ! Huyo mange ni mjanja wa town anajua kutumia Mitandao kujipatia Pesa , hao anaowataja anataka wampe pesa ili baadae akanushe wana JF kuweni makini sana kuna wajanja wanatumia hii Mitandao kupiga pesa wanabeep chochote kibaya Kwa jamii kisha mhusika huwafuata wakipozwa huja na hoja za kukanusha au kukaa kimya kisha kuwatuma wengine kupinga Kwa wingi sana hadi wachangiaji wengine kuachana na hizo habari.

Nadhani humjui mange vizuri...kwenye swala la madawa ya kulevya amekuwa ni mpambanaji bila woga
 
polisi huku kwetu wanavuta bangi ndani ya uniform,....usiku wakiwa na silaha,...hivi wataweza kukamata watuhumiwa kweli?????
mkuu ukisema utaje majina hapa bas ccm itaaibika vibaya mno,......
 
Ilishafanyika hiyo miaka kadhaa iliyopita, mateja hata siku moja hawataji wanauziwa na nani,
Wasiri sana.
Sidhani kama kuna nia ya dhati kwenye hili. Hawa watu waendelee kukamatwa na mwishowe wataisha tu. Nadhani tatizo kulikuwa na kulindana tu.
 
Back
Top Bottom