Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

ili wapate pa kula Rushwa , kutaja mtu bila kuwa na ushahidi ni kujibebesha dhambi bure na mungu atakukosesha riziki, kuna wajanja madalali wa mapolisi kazi Yao ni kutengeneza michongo kunusa nusa kisha kuwapeleka polis wanachukua Rushwa wanagawana , kutaja majina ya watu pasipo kuwa na hakika ni kuwatengenezea usumbufu pia polis wanapata pa kujilia Rushwa .
 
Bangi na gongo vilipigwa marufuku tokea 1961 Nchi ilipopata Uhuru lakini watumiaji hawajawahi kupungua sana sana wanazidi licha ya sheria kuwepo.

Kutaja jina la mtu Kwa chuki au wivu pasipo kuwa na uhakika ni kumtengenezea usumbufu pia Rushwa Kwa madalali wa polis.

Ni vyema vyombo husika wafanye kazi zao Kwa weledi na umakini waache kutegemea madalali wa michongo na Tetesi za chuki na dili .
 
Kama rais alikuwa na majina na alishindwa kuwataja mimi ni nani mpaka nikurupuke kuwataja. Mfuate mzee wa msoga ataje yale majina ambayo alisema anayo mezani kwake.
 
Mange juzi Juzi alizinguana na January Makamba na mwanvita lakini baada ya kupewa pesa katulia Kiimya!

Huyo Mange ni mjanja wa town anajua kutumia Mitandao kujipatia Pesa , hao anaowataja anataka wampe pesa ili baadae akanushe wana JF kuweni makini sana kuna wajanja wanatumia hii Mitandao kupiga pesa wanabeep chochote kibaya Kwa jamii kisha mhusika huwafuata wakipozwa huja na hoja za kukanusha au kukaa kimya kisha kuwatuma wengine kupinga Kwa wingi sana hadi wachangiaji wengine kuachana na hizo habari.
 
Kama rais alikuwa na majina na alishindwa kuwataja mimi ni nani mpaka nikurupuke kuwataja. Mfuate mzee wa msoga ataje yale majina ambayo alisema anayo mezani kwake.
Wanataka utaje ili wakawaombe Rushwa kisha wewe mtajaji unabakia kuwa mbea tu.
 
nenda Julius Nyerere airport uone wanavyopitisha ili uje utaje huku wanapitisha hadi meno ya tembo 57 kwa wakati mmoja yanakamatwa Swiss yakiwa transit ya China sembuse kilo moja au mbili mkuu...kiini cha uozo huu ni kuanzia bandari na hapo..
 
Mi mwenyewe nauza sana unga hasa mikoani na watumiaji ni wengi sana na wanaapa kuwa SEMBE ndo chaguo Lao na siyo DoNa
 
Mwenye kinga ya kuto shatkiwa kwa kosa lolote anawajua na akanyamaza, sasa sie tusio na kinga tuwataje ili iweje?
 
Back
Top Bottom