Mimi ni mmoja kati ya wapiga vita hili swala na madawa ya kulevya.
Yupo mtu mmoja anajiita Ali OCS,huyu ni hatar.Huyu ndo huwa ana wabebesha akina Linnah Sanga unga kwenda South.
Anasimamia haya magari ya kwenda congo kama zuga tu.Yani ukimtaja Kinje basi huyu ndo meneja wake.
Aliwah kununua Band wakti fulani ambaye mwimbaji wake ni Riva Hassan ila ikamshinda. Yeye huyu ndo anatafutaga Mapunda wote, na wote wanamwitaga yeye baba .
Kinje yeye si Boss basi huyu ndo Katibu mkuu wake.Kila siku yeye anasafiri kwenda South. ..na ukiona anasafiri ndan ya hiyo
ndege kuna Punda wake si chini ya watatu mpaka wanne.
Uzi wa 2013Hoja nzuri ila ulipoanza kumtetea mtoto wa wengi na kusema.wanyonge wanachomekewa umeharibu mwenyewe hoja yako,napia uliposema nchi ni kama haina Rais ukanipoteza kidogo ina maana mwenzetu majipu yanayoendelea kukamuliwa huyaoni,hadi useme nchi ni kama haina rais,hapo ila hoja yako ya msingi
Nimeshtushwa na taarifa zilizoandikwa na gazeti la The Citizen la leo 11/01/2016 (ISSN 0856-9754 No. 3760) kuwa kuna ushahidi mpya wa polisi wetu kujihusisha na shughuli za kupora na kuuza madawa ya kulevya na kisha kutoa siri za jeshi na kuwasaidia wafanyabiashara haramu hiyo kutoroka mkono wa sheria.
Nadhani tuanze kuohoji, madawa ya kulevya yote yaliyokamatwa na kuwekwa kwenye stoo za 'vidhibiti' kwa ajili ya kesi husika yalipelekwa wapi? kweli yapo huko stoo? Kama mambo yenyewe ndiyo hayo? Na kama yaliteketezwa tunahitaji ushahidi usiotiliwa shaka kuwa yaliteketezwa. Vinginevyo, yakikosekana huko stoo na hakuna ushahidi wowote kuwa yaliteketezwa, basi wote walihusika na udhibiti wa madawa hayo ya kulevya kuanzia bosi wa mpaka mfunga na mfungua kufuli wa stoo, wafunguliwe mashitaka mawili moja kama wauzaji wa madawa hayo pili waahini kwa kutoa siri za jeshi jambo linalohatarisha usalama wa taifa.
Polisi wengi wamekuwa wakijihusisha na madawa ya kulevya...wanayakamata alafu wanayauza nao polisi wanajulikana tu ila baadhi yao sahvi wamehamishwa vituo.Nimeshtushwa na taarifa zilizoandikwa na gazeti la The Citizen la leo 11/01/2016 (ISSN 0856-9754 No. 3760) kuwa kuna ushahidi mpya wa polisi wetu kujihusisha na shughuli za kupora na kuuza madawa ya kulevya na kisha kutoa siri za jeshi na kuwasaidia wafanyabiashara haramu hiyo kutoroka mkono wa sheria.
Nadhani tuanze kuohoji, madawa ya kulevya yote yaliyokamatwa na kuwekwa kwenye stoo za 'vidhibiti' kwa ajili ya kesi husika yalipelekwa wapi? kweli yapo huko stoo? Kama mambo yenyewe ndiyo hayo? Na kama yaliteketezwa tunahitaji ushahidi usiotiliwa shaka kuwa yaliteketezwa. Vinginevyo, yakikosekana huko stoo na hakuna ushahidi wowote kuwa yaliteketezwa, basi wote walihusika na udhibiti wa madawa hayo ya kulevya kuanzia bosi wa mpaka mfunga na mfungua kufuli wa stoo, wafunguliwe mashitaka mawili moja kama wauzaji wa madawa hayo pili waahini kwa kutoa siri za jeshi jambo linalohatarisha usalama wa taifa.
BRais KIKWETE ana orodha ya wauza dawa za kulevya Muda ukifika atawakamata, CCM ni wasikivu sana! Tulia....