Madawa ya kulevya JNIA

bategereza

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
3,314
1,059
Siku hizi kila wiki au wiki mbili kuna mtu anakamatwa na madawa ya kulevya JNIA lakini sijawahi kusikia au kusoma au kuona hata mtuhumiwa mmoja aliyekamatwa LIVE akihukumiwa au hata kupigwa faini. I stand to be corrected kama kuna ushahidi. Ila hua nasikia watuhumiwa waliokamatwa na madawa yenye dhamani kama bajeti ya wizara wametoroka.
 
Back
Top Bottom