Mkirua
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 5,647
- 2,498
:A S 465:HUREEEEY ENDENI JAMANI TUONE HATA WALIMU MKIPATA ENEO NZURI GO TO TEACH THIS CCM GOVERNMENT A LESSON. Watatoka Bungeni kuhudumia Wagonjwa na Kufundisha ma skuli yetu. Wabombavu sana wote wa CCM wanavyoona eti Wanagoma ma Daktari na Walimu. Hawa CCM wanafanya mzaha kusema ongo kwa Chadema. Tunawajua na tunaelewa na tunaulewa na ATUDAGANYIKI. HONGERENI MADAKTARI YETU ENDENI JAMANI NI UHAI WENU NA FAMILIA. HATA KAMA MIMI I will take a better package where I will feel respected, comfortable as well as my family. HUREEEEY NA GO FOR IT MADAKTARI
Anyway tutaendelea tu kufundishana huenda siku tutaelewa...Serekali ya CCM sio wahanga katika hilo...Mwalimu wangu wa CIVICS alinifundisha kuwa serekali ina mafiga matatu...Executive, Judiciary and Parliament....Naomba elimu kidogo hapa haswa tunaposhangilia...suppose huduma ni mbaya sana kwenye hospitali zetu...to what extent Mawaziri (including president vice and PM), wabunge na mamaji (ambao ndio serekali yenyewe) watakuwa/wanakuwa affected na hiyo hali?? Je ni wateja wa hizo hospitali ambazo madaktari wake wanaondoka??
Hadi sasa hatuna walimu na kuna shule zina wanafunzi zaidi ya 500 lakini kuna mwalimu mkuu na msaidizi wake tu....je watoto wa hii serekali (mawaziri, Mahakimu na Wabunge) ni miongoni mwao hao??
Tukishatafakari hayo maswali turudi ama kushangilia haya mambo tukiwa tunajua what are we celebrating....kama sio watoto wa shangazi mjomba na watoto wa baba yako waliotapakaa sehemu mbali mbali za nchi na walalahoi kwa ujumla wanakuwa victimized.....