Madaktari waliofukuzwa waula Namibia, Botswana, Rwanda na A.Kusini

"Kutokana na ukweli huo basi kama daktari anayeona kuwa hawezi kufanya kazi Serikalini bila ya kulipwa mshahara huo awe huru kuacha kazi na kwenda kwa muajiri anayeweza kumlipa kiasi hicho. Nasi tutamtakia kila la heri. Hana sababu ya kugoma ili ashinikize kulipwa mshahara huo. Asisumbuke, hatalipwa mshahara huo." (JK et al., 2012)
wito huo wa kutafuta mwajiri mwingine, utekelezaji wake umeanza rasmi. Tanzania hospitals hit hard by brain drain as sacked doctors seek jobs abroad *- News*|theeastafrican.co.ke
 
tanzania kushney!
Safi sana ila muda si mref serikali ita anza kulia na kupiga magoti
iwarudishe!!!

serikali haiwezi kulia mkuu tatizo litakuwa kwa sisi wananchi!
Hv unajua kuwa hata wakipeleka maboga kuwa madactari tutawaamini!
 
Bora waende wakafie mbele sasa kama walikuwa na hiyo option kwanini walikuwa wanagoma? si wangeacha kazi kimya kimya wakaenda huko kwenye mafano manono?

in few years even if many years to come kuna mabadiliko utakutana nayo pindi utawala utakapobadilishwa. Huwezi kuondoka kimya kimya bila kuwaambia matatizo waliyo nayo ili wajirekebishe.
 
Kwa hili sina haja ya kuweka siasa...Let them go in peace...wakapate hiyo 7.7
 
in few years even if many years to come kuna mabadiliko utakutana nayo pindi utawala utakapobadilishwa. Huwezi kuondoka kimya kimya bila kuwaambia matatizo waliyo nayo ili wajirekebishe.

Kwani hiyo migomo yao wameanza leo?

Hawana lolote na wengi wao wataashia humu humu mwananyamala na temeke kwenye viji dispensary.
 
Kwanini daa tuwafutie ubalozi woote watakaowaiba madr wetu!

Wanawaiba? Wakati si walipewa ruhusa ya kuacha kazi na kwenda popote wanapoona wanalipwa zaidi because the government cant pay them what they requested. What they are doing now ni kufuata ushauri waliopewa, and of course going where people really appreciate their profession.
 
Ni kiburi tu cha wanasiasa; wanafikiria udaktari ni "kama fani nyingine" tu. Gharama ya madaktari wetu kuondoka ni kurudisha huduma ya afya kwa miaka kadhaa nyuma. Lakini kwa vile tatizo lenyewe halijashughulikiwa bado kutakuwa na mgongano wa madaktari na serikali in the future. Hii yote ni matokeo ya sera zilizoshindwa za CCM.

Kwa hili natofautiana na wewe Mkuu .....ingekuwa hivyo (kwenye RED)wangelikuwa na mshahara mara mbili (plus) ya hizo fani nyingine?? Penye ukweli tuuseme....
 
nashindwa kuelwa kuwasomesha koteee hukuu wanaachishwa kaziiii then wengine wana faidi matunda ya tz sii boraa wange rudishwaa tuuuuuu ilaa kwa vigezoo maalumuu!
 
"Kutokana na ukweli huo basi kama daktari anayeona kuwa hawezi kufanya kazi Serikalini bila ya kulipwa mshahara huo awe huru kuacha kazi na kwenda kwa muajiri anayeweza kumlipa kiasi hicho. Nasi tutamtakia kila la heri. Hana sababu ya kugoma ili ashinikize kulipwa mshahara huo. Asisumbuke, hatalipwa mshahara huo." (JK et al., 2012)

Asante mkuu Lyimo kwa quote. Nadhani it summarizes everything that is happening now. Na hamna haja ya kuwalaumu ma doctor.
 
uzushi wa hali ya juu. Madaktar ni sawa na mfa maji haishi kutapatapa, mgomo umeisha huku wao wakiwa wamepoteza, wameaibika, wamedhalilika. Tuliwashauri wasitumiwe kisiasa hawakusikia.
 
...Source: Raia Mwema Leo 18/07/2012 page 3
Hayahaya magazeti ambayo Wahariri wake wengi wao ni Walevi wa mataptap...!!
Waacheni watekeleze maagizo ya Mkuu wao wa nchi ya kwenda kule wanapofikiria wanaweza kulipwa mshahara wa equivalent to 7.5M kwa mwezi.
 
nashindwa kuelwa kuwasomesha koteee hukuu wanaachishwa kaziiii then wengine wana faidi matunda ya tz sii boraa wange rudishwaa tuuuuuu ilaa kwa vigezoo maalumuu!

Ni humu humu jukwaani tumekataa kuwa hawajasomeshwa na serekali wamejilipia ada ndio maana hata bodi ya mikopo inawadai....leo hii Kusomeshwa kote huku....
 
Bora waende wakafie mbele sasa kama walikuwa na hiyo option kwanini walikuwa wanagoma? si wangeacha kazi kimya kimya wakaenda huko kwenye mafano manono?

Bora wamegoma kwani mngesema sio wazalendo. Swali lingekuwa si wangesema tu kuliko kutoroka kimya kimya? Sasa wana ruksa ya mkuu wa kaya kupitia luninga sote tu Mashahidi.
Nawatakia kazi njema tukumbukeni wazazi wenu kupitia BANKS.
 
Porojo hizi sasa zinakera. Ndugu wengine tunafanyakazi kwenye mojawapo ya balozi ulizotaja. Acha uongo, si tabia nzuri!

dandabo
Mkuu unaweza kuwa unafanya kwenye mojawapo ya hizo balozi tajwa na usielewe kinachoendelea, Kukaa karibu na mahakama sio kujua,,,,malizia basi.

Lakini muhimu zaidi source ya thread inaamika Period.
 
Last edited by a moderator:
Balozi za nchi hizo tajwa zimetoa ofa nono kwa madoctor woote waliofutiwa lesseni na wizara ya afya na TZ kwa ngazi zoote kuanzia seniors hadi intern, Intern wataandikishwa kama intern pindi wakifika kwenye nchi husika chini ya uangalizi wa Senior Doctors huku wakipewa mishahara na marupurupu yakuwatosha na wakimaliza shule wanapewa vyeti na lesseni za udoctor wa nchi walipo. wale masenior ambao wamenyangánywa lesseni wao wakifika wanaandikishwa kwenye chama cha madoctors wa nchi husika na kupewa lesseni mara moja na kupangiwa kazi ikiambatana na haki zoote wanazostahili
Balozi za nchi hizi zinawaomba wadocto woote wajiandikishe tayari kuajiriwa kwenye nchi watakazo kati ya hizo tajwa.
haya sasa kwa mara ingine tena TZ inaelekea kupoteza Brain zake kwa kile kinachoitwa mgomo ili hali walipa kodi wanateseka kwa kukosa watabibu.

Masini nchi yangu itatuchukua muda gani kuwapata madoctor kama hawa tena kama kweli wakiitikia mwito wa nchi hizi na wakaondoka.....?

Source: Raia Mwema Leo 18/07/2012 page 3

NATAMANI MADAKTARI HAO WAZUILIWE KUTOKA NJE YA NCHI, kuna Watanzania wengi wanaokufa kwa sababu ya kukosa matibabu...madaktari ni WAJEURI na wana UKATILI sana. They are too selfish and greedy...
 
Back
Top Bottom