Madaktari na kuwachungulia wanawake......

binafsi siamini katika hillo la kutuchungulia wanawake., mfano mdogo tu wewe unaumwa malaria iweje uambiwe panda kitandani uvue nguo na ukakubali? unless na wewe uwe una hamu ya kuchunguliwa. lakini kama umeenda una tatizo linalohusiana na viungo vy auzazi ukitakiwa kuvua nguo inaweza kuwa na uwiano, kwa hiyo tusiwakashifu bure madaktari

acha kufundisha wa2 kazi....however unakapoint kidogo hasa nikiangalia medic studentr we2 walivyo wakware
 
umenikumbusha mkuu!
kuna siku nilisikiliza bbc kuna wanawake walikuwa wanalalamikia hii ishu kule burundi!
kwamba wanatutanua miguu nakutuchomachoma!
 
feisibuku kwani huna mpango wa kuzaa? si lazima utaenda clinik kuchekiwa, hata hivo suala la kuvua nguo kwa wenzetu sio hoja hata ktk tv kuna vipindi vya magonjwa ya wanawake au wanawake ambao wanapenda uchi wao ubandikwe dude fulani kama POP afu inakuwa display madukani, usiogope kuvuliwa nguo kama ni kwajili ya uchunguzi, wengi wanapata magonjwa hawasemi baadae wanaenda hospitali akiwa too late hasa cancer kwa wananawake mnashauriwa kuchekiwa kila wakati.
Mmmh! Mungu niepushe mie!
 
wanakera sana ujue majitu mengine ya hovyo
na likisahakuwa addicted na hako katabia ndo
hata unaumwa malaria linakwambia lala hapo
panua miguu ilimradi likudhalilishe nyabafffff



Pole mama umeongea kwa uchungu mpaka nimekuhumiaaaaaaaa
 
kuanzia leo demu wangu nitakuwa namfanyia check up mwenyewe.akisema nataka nikacheki kansa ya shingo ya kizazi,namwambia tulia nikuchunguze mwenyewe,mambo gani haya,eboo!
 
kuanzia leo demu wangu nitakuwa namfanyia check up mwenyewe.akisema nataka nikacheki kansa ya shingo ya kizazi,namwambia tulia nikuchunguze mwenyewe,mambo gani haya,eboo!

Hahahaa kaazi kweli kweli
 
Kwanza siwezi kutibiwq na dokta wa kike...then nikichekiwa na dokta wa.kiume bila kuvuliwa nguo na kuminywa minywa nahisi sijatibiwa...pale hindumandal kuna dokta mmoja wa kihindi safi sana....


Mhhhhh! haya banaa kumbe kuna wengine wanapenda hii kitu ya kushikwashikwa na madaktari eeh!
 
kuna wanawake wanaenda hospitali.hawataki kabisaa madaktari wa kike
yeye ni madaktari wa kiume tu....huku kajipamba mno...na kulegeza macho....
halafu msivuliwe nguo kwa nini??????/

mbona wanaume ndio mnalalamika? Mimi nilitegemea wanawake ndio wacomplain!
 
mbona wanaume ndio mnalalamika? Mimi nilitegemea wanawake ndio wacomplain!
Ah we unafikiri nani anataka mwanamke wake AVULIWE NGUO, ATANULISHWE MIGUU, ACHUNGULIWE na zaidi AINGIZIWE VIDOLE? Ndio maana si ndo tunasema
 
Back
Top Bottom