Madaktari na kuwachungulia wanawake......

lakini ukifuatilia vizuri daktari mwanaume akiamuru mwanamke avue nguo kwa ajili ya uchunguzi zaidi basi ni lazima muuguzi wa kike awepo,ila kama hatokuwepo basi huyo daktari ana lake jambo...hii ni kutokana na kanuni za maadili katika afya.je,wakati rafiki yako anavua nguo alikuwa na daktari pekee yake au na muuguzi? Hilo ndilo la kujiuliza

si wa siku hizi wengi wapuuzi wanamchokonoa mtu na madole yao mpaka unatembea kiupandeupande,,,aghrrrrrrrrr
 
si wa siku hizi wengi wapuuzi wanamchokonoa mtu na madole yao mpaka unatembea kiupandeupande,,,aghrrrrrrrrr

Tena mkuu maDr. wengine wana vidole vikubwa!! ukiona mkeo anapenda kwenda hospital ujue kuna jambo.
 
mficha uchi hazai, kam alienda kwa ajili ya checkup ulitaka afanywe nini??? kama alienda kwa ajili ya matibabu ya kidole akaambiwa avue nguo hapo ndipo patakuwa ni tatizo
 
kuna wanawake wanaenda hospitali.hawataki kabisaa madaktari wa kike
yeye ni madaktari wa kiume tu....huku kajipamba mno...na kulegeza macho....
halafu msivuliwe nguo kwa nini??????/
Hahahahaaa kwahiyo unasemaje mkuu, wakiwa wanaenda huko wasijipambe eeh?
 
Tena mkuu maDr. wengine wana vidole vikubwa!! ukiona mkeo anapenda kwenda hospital ujue kuna jambo.
Hahahahaaa kwahiyo anaweza kuwa anapenda hivyo vidole vikubwa eeh?
 
Juzi kuna rafiki yangu mmoja wa kike alinipa stori kuwa alikwenda kwa daktari kufanyiwa check up ya kawaida tu akakutana na habari za vua nguo, lala hapo, tanua miguu na kadhalika.....................

Nikapata muda wa kutafakari kidogo namna ambavyo madaktari wanatumia taaluma yao kuchungulia wanawake.............. Mbona si huwa hatukutani na habari hizo? Eti jamani!

Huyo kanogewa huwa anajipeleka akapate haki yake ......mpaka kuvua nguo mmmm?
 
Kwanza siwezi kutibiwq na dokta wa kike...then nikichekiwa na dokta wa.kiume bila kuvuliwa nguo na kuminywa minywa nahisi sijatibiwa...pale hindumandal kuna dokta mmoja wa kihindi safi sana....
 
kwanza habari yako....pili nilikumiss....tatu hiyo avatar umeifanyaje mbona inaninanihii....?

Haaah preta!! Mi mzima wa afya, nimejaa teeeeele...lete story, utan'tembelea lini?? Hii avatar usiiogope bwana!! vp ipo kama zombie??eeh
 
Juzi kuna rafiki yangu mmoja wa kike alinipa stori kuwa alikwenda kwa daktari kufanyiwa check up ya kawaida tu akakutana na habari za vua nguo, lala hapo, tanua miguu na kadhalika.....................

Nikapata muda wa kutafakari kidogo namna ambavyo madaktari wanatumia taaluma yao kuchungulia wanawake.............. Mbona si huwa hatukutani na habari hizo? Eti jamani!

Ungemuuliza rafiki yako alikuwa na tatizo gani lilofanya doct amfanyie hiyo check up? ndio tuanzie hapo kutafakari kama kulikuwa na ulazima wa kufanyiwa au doct alitaka kumchungulia tu.
 
Kwanza siwezi kutibiwq na dokta wa kike...then nikichekiwa na dokta wa.kiume bila kuvuliwa nguo na kuminywa minywa nahisi sijatibiwa...pale hindumandal kuna dokta mmoja wa kihindi safi sana....

Mi pia daktari, njoo kwangu please....
 
lazima kupimwa oil kama safi ama chafu,,hapo kupanua miguu ni kuangalia oil ya ingine,akikuambia geuka ujue ni gearbox oil mara nyingi huwa haipimwi,,,mdomni ndio utakuta dif oil mara nyi ngi huwa haina shida ila service lazima bonet ifunguliwe jamani msishangae
 
Lakini ukifuatilia vizuri daktari mwanaume akiamuru mwanamke avue nguo kwa ajili ya uchunguzi zaidi basi ni lazima muuguzi wa kike awepo,ila kama hatokuwepo basi huyo daktari ana lake jambo...Hii ni kutokana na kanuni za maadili katika afya.Je,wakati rafiki yako anavua nguo alikuwa na daktari pekee yake au na muuguzi? Hilo ndilo la kujiuliza

Hao mataktari au manesi wa kike wanakua washakula dili na dr wa kiume.
Wanawake huwa wanapigwa vidole pasipo sababu kabisa.
 
Back
Top Bottom