Madaktari na Ikulu

IQ ya madaktari ni level ya juu sana kwako. Unataka wakupe ripoti kwani wewe pia daktari? Endelea kufikiria kwa kutumia masaburi.

Mtasema sana, lakini ukweli wameufyata na wapo waliokwisha jiuzulu uongozi wa hicho chama chao. Waulize kwanini?
 
mi ninachojua hela za idara ya afya zimeanza kupelekwa mahospitalini kwa wakati!

La kupelekwa pesa kwa wakati halikuwepo kwenye vikwazo vyao. Umesahau? ngoja nikukumbushe:

Waziri yuleyule, naibu waziri yuleyule!
 
Una uhuru kuwa na mtazamo wako lakini kuna vitu unachanganya.

Zahanati (Dispensary) zinastahili kuwa na clinical officers ambao wana diploma.

Vituo vya afya (health centres) zinatakiwa ziwe na AMO ambao wana advanced diploma pamoja na clinical officers.

Hospitali za wilaya zinatakiwa ziwe na MO, pamoja na AMOs na COs; lakini mwongozo wa skta ya afya unazuiwa hospitali za wilaya kuwa na MO zaidi ya wawili, kwa hiyo ukienda kwenye hizo hospitali utakuta kuna MO mmoja mabye atakuwa DMO kimsingi huyo si mtendaji.

Katika mgomo wa madakatri waliogoma ni MOs ulitaka waende kwenye kijiji kipi ambacho kina hospitali zilizoainishwa kwa mujibu wa sera za sekta ya afya.
 
Mjadala lazima uwe na hitimisho. Hamuwezi kujadili daima dumu bila kufikia tamati, vinginevyo wote mtaonekana wasanii. Wananchi wameahidiwa wasubiri majadiliano, watapewa taarifa ya nini kimefikiwa msiwe sawa na hadithi ya Abunuwasi aliyealika watu kwenye sherehe akaweka masufuria pembeni mwa jiko akisubiri kiive kwa muda mrefu mpaka wageni wakaondoka kwenye tafrija kwa kuchoka kusubiri. Lakini huyu alitaka kufikisha ujumbe kwa mfalme kuwa mtu hawezi kuota moto kwa moto wa kurunzi. Sasa mjumbe wa kamati anataka kutuambia huduma za Afya zitaboreka kwa kujadiliana tu.
Watu kama wanaonekana kukejeli juhudi hizi inatokana na maamuzi kati ya serikali na kamati ya viongozi wa chama cha Madaktari kuchukua muda mrefu mno pasipo sababu ya msingi. Madai ya Madaktari yanajulikana kwa muda mrefu sasa, yajibiwe sasa. Nini kinawezekana na kipi hakiwezekani na kwa nini hakiwezekani. 90% of management activity is decision making, this doesnt mean that every decision made is correct it may be wrong, but you must decide so as to enable people implement or make necessary correction on the decision. Failing to decide makes things not to move and enhence failing managing.
Kutokana na mtazamo huo wote: IKULU NA VIONGOZI WA CHAMA CHA MADAKTARI you have failed pisheni watu wengine watatue tatizo hili (Paradim shift) Kuhn states that when old system fails to solve problems or it contradicts itself in that particular society it must be replaced by a new system that will provide correct asnwers to the problem. It necessitates changes Msing'ang'ania jambo msiloliweza
 
Taarifa rasmi ni kwamba hadi sasa vikao vya majadiliano kati ya madaktari na team ya serikali bado vinaendelea na taarifa ya majadiliano hayo itatolewa kwa madaktari na wadau wengine muda si mrefu.Ni lazima ieleweke kwamba hakuna vitisho wala kunyamazishwa kwa viongozi wa madktari.Lengo letu ni kutafuta suluhu ya kudumu itakayopelekea mgogoro kama huu usijirudie tena na kama ukitokea basi utatuliwe mapema bila kuathiri wagonjwa kama ilivyotokea.
DR.EDWIN CHITAGE
MJUMBE WA KAMATI YA MAJADILIANO.

ahsante dokta, nawasapoti ninyi all the way. Kudos
 
Taarifa rasmi ni kwamba hadi sasa vikao vya majadiliano kati ya madaktari na team ya serikali bado vinaendelea na taarifa ya majadiliano hayo itatolewa kwa madaktari na wadau wengine muda si mrefu.Ni lazima ieleweke kwamba hakuna vitisho wala kunyamazishwa kwa viongozi wa madktari.Lengo letu ni kutafuta suluhu ya kudumu itakayopelekea mgogoro kama huu usijirudie tena na kama ukitokea basi utatuliwe mapema bila kuathiri wagonjwa kama ilivyotokea.
DR.EDWIN CHITAGE
MJUMBE WA KAMATI YA MAJADILIANO.

Thumbs up Dr. People should understand that strike option is the LAST alternative when all other means fails. If the discussions are going on with honest and understanding, there is no need for inflicting further damages to the people unnecessarily.

Hii inammanisha kuwa watu hawagomi bila sababu ya msingi. Sasa hivi hiyo sababu haipo.
 
Madaktari walikumbana na nini Ikulu? vinara wa mgomo hatujawasikia tena, hata kwii hakuna.

Mlitaka kuonana na Mkulu nyinyi wenyewe, vipi? tupeni mkasa wa huko, maana hii si kawaida. Kuna fununu kuwa wale vinara wote hawataki hata uongozi wa hicho chama cha madaktari, kwa ufupi wameufyata.

Madai yenu hayajatimizwa, na kuufyata mmeufyata na nna uhakika mmekoma na hamtorudia tena, labda waje viongozi wengine ambao hawajui yaliyowafanya muufyate. Kwi kwi kwi Teh teh teh.

Cheza na dola nyinyi.
kweli a fool is always a fool......sasa we hii post yenye kejeli kwa madaktari umeifungua ili kutaka kudhiirisha nini??kwamba madaktari wameshindwa nini na dola???....i mean are you really serious???do you know what you are writing??....yaani madaktari wamefyata nini???...we makubaliano ya madaktari na rais unayajua????au umeamua tu kuleta chokochoko humu???....wakati mwingine ujinga mwingine ni vigumu sana kuuvumilia yaani........yaelekea wewe na ndugu zako huugui na labda ukiugua unatibiwa na miti shamba au matunguli ya kichawi....maana kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kuja humu na kuanza kuwakejeli madaktari......you are a big fool.........
 
Ribosome Nakuunga mkono mkuu kabla ya kuonana na Raisi yalikuwa yanapiga mikelele ili kutafuta sympathy ya wananchi miuwaji mikubwa ile imechimbwa mkwara karibu ijiharishie kwa woga sasa hivi inapiga mzingo kwa maslahi yaleyale wanataka mkuu asisafiri ili hiyo hela walipwe wao? Mbona walivyokutana na waziri mkuu walituambia yaliojiri kwenye mkutano. hawana lolote hawa wanaiba dawa na vifaa wanapeleka kwenye dispensary zao sasa wanataka Serikali iongeze vifaa na madawa ili waibe zaidi mafisadi ya roho za watu mkwara mmoja tu kimya kwi kwi kwi kwi kwi!!!!!!1
another fool.......
 
Unataka na wewe JK akuite kwa kutundika thread hii au unadhani atapendezwa na uyaandikayo....fahamu pia anaye Daktari na misafara yake inaambatana na hao na kaenda mbali JK ana mtoto wa kumzaa Daktari mkomavu tu. Ndio maana hukumsikia ametangaza kufukuza Dkt. wala nini....Mponda na Nkya wenyewe wamejikaanga kwa kutokujua wajibu wa politician ktk kmsaidia Rais, kashfa,kukosekana kwa utulivu na migomo hutosha kwa true politician kustep aside hata kama Rais anakupenda sana....,Dkt. Ngasongwa alihusishwa kisanii wabaya wake ktk political arena akiwa Maliasili...ali resign wakati BWM akiwa nje ya nchi hakusubiri sympathy ya Mkapa....later wenyewe walikiri kuwa alionewa....why Dkt. Mponda na Nkya hawamkusadia Rais ktk kuwajibika ili kupisha uchunguzi kama alivyofanyiwa Bandina!!!! Tupia vitu vyenye mizani na kufundisha jamii na si ushabiki wa Lusinde.... Yangu ni hayo ila mleta mada umeudharirisha u Tanzania wetu.
 
Madaktari walikumbana na nini Ikulu? vinara wa mgomo hatujawasikia tena, hata kwii hakuna.

Mlitaka kuonana na Mkulu nyinyi wenyewe, vipi? tupeni mkasa wa huko, maana hii si kawaida. Kuna fununu kuwa wale vinara wote hawataki hata uongozi wa hicho chama cha madaktari, kwa ufupi wameufyata.

Madai yenu hayajatimizwa, na kuufyata mmeufyata na nna uhakika mmekoma na hamtorudia tena, labda waje viongozi wengine ambao hawajui yaliyowafanya muufyate. Kwi kwi kwi Teh teh teh.

Cheza na dola nyinyi.

quote_icon.png
By Ribosome

Walikuwa si watetezi bali wauwaji, huwezi cheza na maisha ya wagonjwa eti kwa kuwa unatetea maslahi ya wagonjwa wengine. Huo ni punguani wa hali ya juu. Walichokipanda wamekivuna na nnajivuna kuwa na Rais kama Kikwete ambae amewafanya waufyate.

Nna uhakika wamekoma na hawatothubutu tena.

quote_icon.png
By Ribosome

Naona umekuja na lugha mpya. Kama kweli ulikuwepo Ikulu, umejifunza namna ya kuongea. Hakuna aliyeongelea vitisho humu. Tunasema mmekoma, mmeufyata na hamta rudia tena.

Jee, ni wangapi kati yenu waliojiuzulu baada ya kutoka Ikulu? Mbona hilo hausemi?

quote_icon.png
By Ribosome

Hizo busara baada ya kwenda Ikulu? wameufyata, waziri yuleyule na naibu yuleyule. Si walijidai kumpa ultimatum Rais?

Cheza na dola wewe?

quote_icon.png
By Ribosome

Hali inajulikana na jitihada za kuboresha huduma ya afya inajulikana toka Kikwete aingie madarakani. Ni mengi sana kayafanya, pita vijijini ukaone vituo vya afya vipya, vinapendeza, hao madaktari mbona wanagoma kwenda huko kama ni kweli wanapenda kusaidia wenzao.

Hao walijidai wajanja, Kikwete alikuwa kimya siku zote, alipokutana nao wanajuwa walichokumbana nacho kutoka huko kimya, wameufyata. Na nnakuhakikishia watakuwa na adabu daima.

quote_icon.png
By Ribosome
Mtasema sana, lakini ukweli wameufyata na wapo waliokwisha jiuzulu uongozi wa hicho chama chao. Waulize kwanini?

quote_icon.png
By Ribosome
La kupelekwa pesa kwa wakati halikuwepo kwenye vikwazo vyao. Umesahau? ngoja nikukumbushe:

Waziri yuleyule, naibu waziri yuleyule!

quote_icon.png
By Ribosome
Kikwete kakiongea tena kwa dhihaka, au umesahau hotuba yake?

All i can say's Mungu akusamehe hapa duniani na akhera.. Hujui ulitendalo..
 
kweli a fool is always a fool......sasa we hii post yenye kejeli kwa madaktari umeifungua ili kutaka kudhiirisha nini??kwamba madaktari wameshindwa nini na dola???....i mean are you really serious???do you know what you are writing??....yaani madaktari wamefyata nini???...we makubaliano ya madaktari na rais unayajua????au umeamua tu kuleta chokochoko humu???....wakati mwingine ujinga mwingine ni vigumu sana kuuvumilia yaani........yaelekea wewe na ndugu zako huugui na labda ukiugua unatibiwa na miti shamba au matunguli ya kichawi....maana kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kuja humu na kuanza kuwakejeli madaktari......you are a big fool.........

I am damned serious, those pathetic hypocrites were professionally silenced and believe you me, they will never ever utter a word "ultimatum" again in their short lives nor will they ever attempt to take hostages the innocent sick.

Indeed, Kikwete has proven again that no one plays with him, they were fooled by his smile. They've learned the hard way not to judge the book by its cover.

Kudos Jakaya, whichever way you handled the situation, it worked.
 
All i can say's Mungu akusamehe hapa duniani na akhera.. Hujui ulitendalo..

Nyinyi mnaotetea uovu mnaona raha walivyofanya wajivuni wachache? kuweka rehani wagonjwa kwa eti kushinikiza waziri na naibu waziri waachishwe kazi? mnaona hilo ni sawa wakati madai yote mengine yote yalikuwa yanashughulikiwa?

Walichokumbana nacho ni kisiki cha uhakika, hakiyumbi, hakitetereki huku kina cheka cheka.

Waulize, kiko wapi? Na uwaombee wao kusamehewa na Mungu kwa kuweka rehani roho za wagonjwa wetu kama vile hazina thamani yoyote kwao, zikiwepo au zisiwepo.
 
Inasemekana walionyeshwa majalada yao na dili zao hawakuamini kabisa, kuna jamaa anasema waliletewa mawasiliano yao kwa baadhi ya viongozi wa kisiasa, wakabaki wameduwaa!
we unacheza ana JK?mwanajeshi wa ukweli!
 
Unawakejeli wakati walikuwa wanakutetea wewe ili upate kupata vipimo vyote pindi uendapo hospitali za serikali au wewe ndiwe mwimbili ndo airport yako then matibabu India

Mwambie huyo. Akiugua atalijua jiji. Kwa sasa mwache awe domo kaya.
 
Mwambie huyo. Akiugua atalijua jiji. Kwa sasa mwache awe domo kaya.

Mwandosya na Mwakyembe walipougua mbona walishindwa kuwatibu? kama ni mahodari sana, hao si watoa first aid tu, tiba India, Ulaya. Hao madaktari wanaoweka rehani roho za watu siwaamini kabisa, shida tu inipeleke kwao, tena ntachaguwa wa kunitibu, wapo ambao hawakuhusika na upumbavu huo.
 
Inasemekana walionyeshwa majalada yao na dili zao hawakuamini kabisa, kuna jamaa anasema waliletewa mawasiliano yao kwa baadhi ya viongozi wa kisiasa, wakabaki wameduwaa!
we unacheza ana JK?mwanajeshi wa ukweli!

Lisemwalo lipo, na kama ni hivyo basi hatutowaona tena kurudia ufukunyuku wao na wataufyata milele.

Nna uhakika wanajuta kwanini walienda Ikulu. Kwa sasa nadhani hata Ferry (soko la samaki) hawaendi kununua samaki.
 
Hadi sasa hakuna kiongozi yeyote wa chama cha madakri/jumuiya ya madaktari aliyeachia ngazi...huenda Ribosome una ajenda yako,basi kiseme kilichotokea ikulu kama unakijua.Propaganda zako hazitafanikiwa kuvunja umoja wa madaktari.Siasa wapelekee wanasiasa uchwara wenzio.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom