Madaktari na Ikulu

Safisha ubongo kabla ya kuongea. Kwako wewe daktari ni mtu yeyote unayemuona dispensary, kituo cha afya, na hospitali. Kama 'daktari' wako wa kituo cha afya anakuibia dawa basi na ukome. Toka lini daktari akahusika na mambo ya madawa?
Na wataendelea kuwaua tu mpaka haki zao wazipate!!! Na hata wakipata ripoti watawapa madaktari.
Na wewe utakufa unajiona chuma wewe eh?
Cheza na kifo wewe
 
Hadi sasa hakuna kiongozi yeyote wa chama cha madakri/jumuiya ya madaktari aliyeachia ngazi...huenda Ribosome una ajenda yako,basi kiseme kilichotokea ikulu kama unakijua.Propaganda zako hazitafanikiwa kuvunja umoja wa madaktari.Siasa wapelekee wanasiasa uchwara wenzio.

Hakuna propaganda, wewe unajuwa ukweli lakini unaba kuogopa eti kuvunja umoja. Hakuna umoja huko, wengi hawakuwa kwenye mgomo.

Nna uhakika zaidi ya nusu, kama si wote, waliokwenda Ikulu hawarudi tena kwenye uongozi wa hicho chama. Na kama watabaki basi pia kwa maslahi, unajuwa ya wapi.
 
Unafurahia kuona maiti.

Kama ungesogea wodi ya hospitaliyoyote wagonjwa wangekutupia laana kwani wao wanaomba usitokee tena
 
Unafurahia kuona maiti.

Kama ungesogea wodi ya hospitali yoyote wagonjwa wangekutupia laana kwani wao wanaomba usitokee tena
 
Mtasema sana, lakini ukweli wameufyata na wapo waliokwisha jiuzulu uongozi wa hicho chama chao. Waulize kwanini?

We rijamaa ri ribosome sijui mbona riongo hivyo???? ha ha ha hah ah ah ah ah ah bahati mbaya umepata audience ya kufuatilia huu uzi wako usiokuwa na mshiko
najribu kufikiria nini kinakumotivate kuanzisha uzi kama huuu..............
 
Safisha ubongo kabla ya kuongea. Kwako wewe daktari ni mtu yeyote unayemuona dispensary, kituo cha afya, na hospitali. Kama 'daktari' wako wa kituo cha afya anakuibia dawa basi na ukome. Toka lini daktari akahusika na mambo ya madawa?
Na wataendelea kuwaua tu mpaka haki zao wazipate!!! Na hata wakipata ripoti watawapa madaktari.
Wanacho kimbilia kwenye vyombo vya habari nini? Kwani wao hawatakufa Pambaf !!! Wafanye kazi huko siwaliomba wenyewe
 
we ribosome....mbona unataka majibu kwa matusi....hupati ng'o!jaribu kuassess IQ yako,bila shaka ulikimbia sayansi kwa kudai hesabu ngumu......so please,tumia lugha yenye staha.
 
Inasemekana walionyeshwa majalada yao na dili zao hawakuamini kabisa, kuna jamaa anasema waliletewa mawasiliano yao kwa baadhi ya viongozi wa kisiasa, wakabaki wameduwaa!
we unacheza ana JK?mwanajeshi wa ukweli!
Inaonyesha ni kweli mkuu wengi wao wanapiga dawa wanapeleka kwenye kliniki zao
 
Mwandosya na Mwakyembe walipougua mbona walishindwa kuwatibu? kama ni mahodari sana, hao si watoa first aid tu, tiba India, Ulaya. Hao madaktari wanaoweka rehani roho za watu siwaamini kabisa, shida tu inipeleke kwao, tena ntachaguwa wa kunitibu, wapo ambao hawakuhusika na upumbavu huo.

Haya ndugu.....usitukane wakunga na uzazi ingalipo....unaowajua wanaweza wasiwe wataalamu wa unachoumwa at that moment....be careful with your words...

but inaonekana una hamu saana ya kujua kilichoongelewa huko..and thru this thread unaprovoke watu waseme.....inavyoelekea hautopata jibu as wanasiasa na wanasayansi ni kama mafuta na maji..
 
Hali inajulikana na jitihada za kuboresha huduma ya afya inajulikana toka Kikwete aingie madarakani. Ni mengi sana kayafanya, pita vijijini ukaone vituo vya afya vipya, vinapendeza, hao madaktari mbona wanagoma kwenda huko kama ni kweli wanapenda kusaidia wenzao.

Hao walijidai wajanja, Kikwete alikuwa kimya siku zote, alipokutana nao wanajuwa walichokumbana nacho kutoka huko kimya, wameufyata. Na nnakuhakikishia watakuwa na adabu daima.

Kati ya haya moja ni kweli
Una chuki binafsi na madaktari
Unajipendekeza kwa dola
Huna taarifa sahihi na yote ambayo madaktari walikuwa wakipigania
 
Mtasema sana, lakini ukweli wameufyata na wapo waliokwisha jiuzulu uongozi wa hicho chama chao. Waulize kwanini?

Kumbe mkuu wewe mwana mipasho, Kama ulikuwa na majibu ya post yako sidhani kama kulikuwa na sababu za kuiweka hapa kwani unajijibu mwenyewe!!!
 
Nani kati yetu asiejuwa kuwa Dawa ya migomo na maandamano ni 'juice ya ikulu'? Kuna watu wabishi kama wachagga? Lakin juice ile si imewalainisha itakuwa hao madaktari?? Ukiskia mtetez wako kenda Ikulu msisitize afunge ili asinywe ile juice ya Bagamoyo inalegeza kweli fikra za kimapambano,we umeshaskia tena habar za meya wa Arusha?!
 
Hali inajulikana na jitihada za kuboresha huduma ya afya inajulikana toka Kikwete aingie madarakani. Ni mengi sana kayafanya, pita vijijini ukaone vituo vya afya vipya, vinapendeza, hao madaktari mbona wanagoma kwenda huko kama ni kweli wanapenda kusaidia wenzao.

Hao walijidai wajanja, Kikwete alikuwa kimya siku zote, alipokutana nao wanajuwa walichokumbana nacho kutoka huko kimya, wameufyata. Na nnakuhakikishia watakuwa na adabu daima.
ulipoanzisha hii thread niliamini ulikuwa na cha maana, kumbe ni bonge la pimbi unayejipendekeza kwa kikwete kama malaya asie na soko, utabaki kukumbatia ujinga na umaskini maisha yako yote mpumbavu.
 
basi jk huyohuyo tuuone ukali wake na kwingne,
tangu cag ampe ripot yake kuna mtu kaguswa?
 
Hadi sasa hakuna kiongozi yeyote wa chama cha madakri/jumuiya ya madaktari aliyeachia ngazi...huenda Ribosome una ajenda yako,basi kiseme kilichotokea ikulu kama unakijua.Propaganda zako hazitafanikiwa kuvunja umoja wa madaktari.Siasa wapelekee wanasiasa uchwara wenzio.
chitage usipoteze focus kwa kumjibu mtu asiyejua dispensari kuna clinical officer na sio daktari.
 
mods hii thread iunganishwe na thread nyingine kuhusu sakata la mgomo wa madaktari.namuona muanzisha thread ni mtu aliyetumwa kuchochea mgomo mpya wa madaktari.
 
ulipoanzisha hii thread niliamini ulikuwa na cha maana, kumbe ni bonge la pimbi unayejipendekeza kwa kikwete kama malaya asie na soko, utabaki kukumbatia ujinga na umaskini maisha yako yote mpumbavu.

Ujinga na umaskini upo ndani ya damu yako, hata maandiko yako yanadhihirisha hilo.
 
mods hii thread iunganishwe na thread nyingine kuhusu sakata la mgomo wa madaktari.namuona muanzisha thread ni mtu aliyetumwa kuchochea mgomo mpya wa madaktari.

Hata iunganishwe au ifutwe, imeshasomeka.

Kikwete ndio Rais, waziri yuleyule na naibu waziri yuleyule na madaktari wameufyata na hawathubutu tena hata kufanya kwi!
 
majitu mengine yanapenda vurugu...., kama waeelewana unachukia nini!!!.... halafu inabidi sasa kuchunguzana humu, hahisi wengine sio WATANZANI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom