Abdillahjr
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 694
- 318
Nenda kwa dr. Wa wanyama
Kama unaenda kuchoma na sindano njoo kwangu ninayo ile sindano ya wanyama pia!!!
Nenda kwa dr. Wa wanyama
sasa daktari akifa au kuumia nani atamtibu mtanzania?mna maigizo nyie!haya bwana tusubiri kesho.Ushauri wangu kwa ma Dr;
Kama hamtaripoti kazini basi msithubutu kukutana popote. Hivi natoka kugawiwa zana za kuwadhibiti na kutoka hapa naenda kukagua magari ya washawasha kama yamejaa vikolezo na kuhakikisha kuwa yako fiti.
Mkikusanyika tu, ...Mtashughulikiwa ipasavyo na hakuna hosp yenye Dr wa kuwapa angalau huduma ya 1.
Ni tahadhari tu..... msije kustukia imekula kwenu.
Ushauri wangu kwa ma Dr;

Nadhani kuna haja pia ya sisi kuwa na logic sio kukurupuka tu..
Je ni kweli serikali walikubaliane na kila matakwa ya wadai Au (madaktari)
Je ni busara kuangalia ndugu yako akiangamia na kuteseka kwa sababu Mtu tu anadai madai yake ambayo ni nyongeza ktk kuhakikisha maisha yake yanaboresheka...
Lakini kubwa ni kwamba do we agree this kind of tradition iwe ndio utaratibu wetu watanzania iwe serikali inayotawaliwa na CCM Au CUF Au CHADEMA...
Je siku chadema nayo itakapochukua nchi Au CUF nao huu ndio uwe utaratibu wa kuubariki na kuusupport ????????
NADHANI
Tujadilini sasa ni kipi sahihi kukifanya ukizingatia kuwa fani ya udaktari ni WITO Zaidi kuliko biashara Kama wengi wetu tunavyofikiria.