meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,349
- 4,674
kutokana na amri ya waziri mkuu hatimaye madaktari wamedhamiria kuongeza makali ya mgomo.kwa kusitisha huduma za dharura.hii ni hatari kuliko ilivyofikiriwa.
na kesho ni klinik yangu k.c.m.c cjui nitafanyaje
miafrika ndivyo tulivyo source NNWananchi tushikamane tuandamane na mabango ya TUNATAKA HUDUMA ....... serikali itajua itafanyaje! Sisi hatujui ugomvi wao na madaktari tunachodai ni huduma kwani si tunakatwa kodi kwa ajili ya huduma hizi?!
pinda anamsikiliza kwa mkuu wake na mimi i answer to the emergecy comitte tuliuyoichagua kusimamia suala hili....as far as am concerned kesho mkutano hupo na nitahudhuria,wanifanye watakavyo...solidarity forever
yn bora 2fe kuliko mrudi kazin ndg zangun!kwz nashangaa hvi vyama vingine vya wafanyakaz cjui viongoz wamelogwa au nn!?km walimu hta jinsi ya kudai maden yao hawawez sa hak zao nyingne c ndo balaa!Shame on u CWT. . . . .!