Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,883
- 2,763
Tanzania loved you but diaspora loved you the most. Hivi ughaibuni ni wapi?
waJF jokes aside;
Mwaka jana alone, madaktari zaidi ya 30 waliondoka na cha kusikitisha zaidi wengine ni wale waliokua wamemaliza tu post graduates course muhimu kabisa kwa nchi, vijana na wenye vision... one time nilikutana na three doctors kwenye ndege moja na kila mmoja alisema hatarajii kiurudi hadi hali ibadilike, na nionavyo mimi hakuna changes... kibaya zaidi wanaoondoka ni wale wenye unique talents
we are losing doctors in high numbers and i am worried kama serikali haitachukua uamuzi wa haraka, nchi inaweza kupoteza hata 1000 drs in the next 12 months kwasababu kazi zao zipo kila kona na hasa kwenye hii dunia ya development funds
wanapoenda dukani kununua mahitaji hakuna anayewapa "ruzuku"Familia zao hazitakula maneno ya "udaktari ni wito" bali net income iingiayo kila mwisho wa mwezi kama mshahara, acha waende wakatafute greener pasture
Kama madai yao yakiridhiwa, Dr atapata 7m kwa mwezi ikiwa ni mshahara na allowance na hii itafanya 2/3 ya pesa yote kwa ajiri ya mishahara ya watumishi wa umma iende kwa madaktari. Hii kitu haiwezekani. NUKUU YA WAZIRI PINDA.
hahahaaaaaaaaaaaaaa, wamefanya analysis ya allowances wanazopeana kutwa kucha?? upuuzi wa yale maVX/V8? ujinga wa kila aina?? vipi EPA na DOWANS?? hizo zote si pesa, au efficiency only comes when doctors demand their rights?
wana JF tokea mgomo utokee mpaka sasa Dr 37 wameondoka na nilikua naongea na dr mmoja nae passport kaikamata na kutimiza idadi ya 38.
Source: daktari niliyekua naongea nae hapa uhamiaji . Anasema tropical doctors wanahitajika na nchi za kitropical na wao wanapeana habari watazidi kuondoka wengi
Yap,ni wakati wa ng'ombe kujua thamani ya mkia wake uliokatika.Kwakuwa kazi ya udaktari ni wito, basi nao wameamua kuitikia wito wa nchi zinazowahitaji.
Ngoja sisi tuendelee na siasa zetu za blandina nyoni, hadji mponda na mizengwe pinda, kwakuwa ndizo tunazoweza!!
Mh. Pinda[FONT=times
new roman]hivi hapa najiuliza swali moja, mtu aliyechukua mkopo
kusoma alafu akajaribu kudai haki zake Mh. Pinda akamfukuza kazi na
akaondoka nchini, ni nani anawajibika kulipa huo mkopo!?
[/FONT]
ni Swaziland, Namibia, Botswana na SauziTanzania loved you but diaspora loved you the most. Hivi ughaibuni ni wapi?
hivi hapa najiuliza swali moja, mtu aliyechukua mkopo kusoma alafu akajaribu kudai haki zake mh. Pinda akamfukuza kazi na akaondoka nchini, ni nani anawajibika kulipa huo mkopo!?
Watz 2chutame 2pige magoti, 2funge, 2sali ucku na mchana kwa ajili ya taifa le2!MOYO WANGU UMEUMIZWA NA HILI!Wherever u r God plz here our players!