Madaktari 100+ wapata kazi nje ya nchi

aaah! ni kweli mkuu? sasa mbona tumesikia kikwete amesaini posho za wabunge kabla ya kuongea na madaktari??ni kweli haya>?hii serikali mbona inatuchanganya

.
Amefanya hivyo katika kipindi hiki kama rushwa kwa wabunge, ili wapoteze ujasiri wa kuihukumu serikali. Nani asiejua kuwa jamaa kilichomwezesha kufika hapo alipo ni usanii?
.
 
HIVI HII NCH TUNAELEKEA WAP JAMAN HUYU RAIS WETU HANA TAMKO LOLOTE JUU YA HILI KUTWA YE KUSAFILI CHA MAANA AKIONEKAN ALAAAA MBNA RAIS YULE WA NCH WALIOFUKIWA KTK SHMO LA DHAHABU ALIKUWAGA NA SAFAR AKAGAILISHA MPAKA RAIA WAKE WALIPOTOKA KTK SIMO INABOA SANA DAH watu wanakufa mwimbili lakini ingelikuw wabunge wamegoma fasta posho zingeongezeka
 
Japo naweza kuugua na siwezi kuaaford Agha Khan, lakini bado nawasifu madaktari na kuwatakia kila lakheri wakatafute maisha. Waje wafungue japo maduka watuajiri na sisi.

Hivi majobless hatuwezi kuandamana?? Bango liwe ni cheti chako
 
JK amepata tuzo ya kuzuia malaria,lkn akifika hapa nchini atasema ni cheti cha udr,hivyo tusiwe na wasiwasi yy atatutibu wa Tz.
 
HIVI HII NCH TUNAELEKEA WAP JAMAN HUYU RAIS WETU HANA TAMKO LOLOTE JUU YA HILI KUTWA YE KUSAFILI CHA MAANA AKIONEKAN ALAAAA MBNA RAIS YULE WA NCH WALIOFUKIWA KTK SHMO LA DHAHABU ALIKUWAGA NA SAFAR AKAGAILISHA MPAKA RAIA WAKE WALIPOTOKA KTK SIMO INABOA SANA DAH watu wanakufa mwimbili lakini ingelikuw wabunge wamegoma fasta posho zingeongezeka

kipanya_26-_01-_2012_20120201_1088718067.jpg
 
MADAKTARI NA WAALIMU WAFANYE KAZI KWA WITO ILA WABUNGE NI WAJASIRIAMALI.... nani kasema? Hela ndio kila ki2 hakuna wito...
 
Nimesoma kwa kodi ya mtanzania kwa miaka mitano.
Nimeongeza tena miaka mingine mitatu inaisha this academic year, July.
Majani mabichi yananukia, labda wanikamate!
 
Kwa Mswati nahisi ndo balaa.
kila mwaka akichagua vimwana wake, masalia najitwalia ka kwangu.
fringe benefits
 
Back
Top Bottom