Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,468
- 23,745
Usijali nitakuwa nakutag nikiona hoja inayokuhusu. I hope unaendelea vyema na ujenzi wa Taifa. Sisi tupo nasi tunajenga kwa namna yetu na wengine wanapaka rangi n.k ila pia wapo wabomoaji. Kama kawaida. Hawakosekani.Kila la heri, mkiona nimechelewa, ni kutoona mapema tu. Hata hivyo, daima nikiona nitasema lile neno ambalo naamini ndiyo lenyewe. Tunajenga pamoja, ahsanteni sana kwa ushirikiano
Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
tuipende nchi zaidi kuliko kitu kingine chochote.