Madadiito na Mamito.

Mnao waogopa usalama wa taifa mjue humu JF wapo kama mchanga so tutakuwa nao tu wala hawakwepeki hao!

usalama wa taifa jukwaa la mmu?
watakuwa mashangingi na mabaradhuli tu...
wasiende kufanya kazi jukwaa la siasa,waje jukwaa la mmu?
watakuwa hawana kazi wanatafuta nanihino tu

PROPOSAL:

Venue
: Brake point posta au ya k'nyama
Day: Today, Friday 29[SUP]th[/SUP] 2011
Time: After work, anytime from 4:30/5pm

PROPOSAL:

Venue: Brake point posta au ya k'nyama

Day: Today, Friday 29th 2011

Time: After work, anytime from 4:30/5pm

Mbona ile ni bar thot itakuwa sehemu ambayo watu wanakula na kudance na kunywa

usalama wa taifa jukwaa la mmu?

watakuwa mashangingi na mabaradhuli tu...

wasiende kufanya kazi jukwaa la siasa,waje jukwaa la mmu?

watakuwa hawana kazi wanatafuta nanihino tu

The boss unafikiri na wao hawatamani eeee, na wao wana roho kama zetu tu

usalama wa taifa jukwaa la mmu?

watakuwa mashangingi na mabaradhuli tu...

wasiende kufanya kazi jukwaa la siasa,waje jukwaa la mmu?

watakuwa hawana kazi wanatafuta nanihino tu

wee.....! kwenye hizo mambo usipimie kabisa userious wote unakwisha.

natamani nifike hapo niwaone watu live lakini nahisi utamu wote wa kupiga umbea wa vidole utaniisha nikishawaona!

Mbona tunakutana tu na hamu haiishi?we uje tu
Okay Gaga..
Bibie Viv kasuggest Didz Masaki..
do u have a better idea??!
would really love to see you guys leo...t'll b long till i c u again!!!

Okay Gaga..
Bibie Viv kasuggest Didz Masaki..
do u have a better idea??!
would really love to see you guys leo...t'll b long till i c u again!!!
didz kwa wasiokula mdudu pale si imekula kwao?

Back
Top Bottom