Madadiito na Mamito.

We Finest...Kwa mtogole kabisa..unajua tangu nije Dar, sijawahi kufika huko!!!!
r u siriaz??
Unajua uswahilini hakuna gharama kabisa kwanza kinywaji mnawekewa kwenye lile bilauri kubwa mnakuwa mnashea kwahiyo tukienda na 10,000 inatutosha kabisa
 
Unajua uswahilini hakuna gharama kabisa kwanza kinywaji mnawekewa kwenye lile bilauri kubwa mnakuwa mnashea kwahiyo tukienda na 10,000 inatutosha kabisa

Now Finest kuwa siriaz aisee..
my last day in Dar kweli twende uswahilini!
anaza proposal a siriaz one basi kabla sija-log off!!!
 
Back
Top Bottom