nazungumzia wale walosomeshwa kupitia kodi za wavuja jasho, ile haikua zawadi, and it is not fair mvuja jasho alipishwe kodi afu mtu asomeshwe bure na kuishia kutumika kwengine..huko ni kudhulumu wakulima na wafanyakazi wa tz..
una taalamu ya udaktari hata kuandika Namibia huwezi?
Nendeni hata kuzimu kuna wanaumwa kwa Ajili ya kipondo cha jehanamu, Hamna maana Nyie kabisa; bora nitibiwe na nurse kuliko Nyie. Hata mkiniona naumwa mniache.
Mmefanya niñi sasa Nyie wanafiki kumwomba rais msamaha? Siku zote watu walipokuwa wanakuga kwa migomo yenu mtawaombea Wapi msamaha?
Nyambafu
Wiki iliyopita washkaji zangu wawili walipata mkataba wa miaka 3 namibya kwa mshahara mnono,jana jamaa wangu wa karibu pia ameitwa botswana kwa mkataba wa miaka 5 na mshahara wa kutakata.hakuna haja kulumbana na mwajiri asiyeweza kunilipa,hata mimi ngoja nisake pa kwenda.
una taalamu ya udaktari hata kuandika Namibia huwezi?
sio wote walioomba msamaha. Kuna waliotumwa kuwadanganya wengine ili kutafuta ushahiwa wa kesi ya rais wa MAT. Wametumiwa na wamekubali kutumika, sasa hivi wanaandaliwa kuwa mashahidi kwa upande wa jamhuri. Ukiwa na mind ya kutegemea favour siku zote utaishi kwa shida sana.
Bora nurse anayekosea kwa ujinga kuliko nyie mnaojua na kuacha tufe, nilikuwa na wasupport ila huu upuzzi wenu wa kutokea kwenye vyombo vya habari na kuinua mikono sijawai ona, hata Babu zetu hawakufanya hivyo, nini ni thamani ya roho za watu zilizopotea kama mmekiri kwamba mlikosea, I would give you a second degree murder! this is ridicolous
Ulikuwa mzalendo lini?Ukipata dili nistue coz uzalendo umenishinda.nchi hii hatuna amani bali tunavumiliana,mimi nimechoka kuuvumilia uzito wa vigogo.
Kama wewe ni daktari sitegemei tiba ya uhakika kutoka kwako.wewe fara, unaongea kwa kuwa hajakukuta. Manesi wenyewe wa voda fasta mwaka mmoja akutibu kama hujachomwa sindano na kuparalyse mwili mzima mpaka macho.
Ulitaka asemeje?hujashirikisha ubongo kajipange upya.........
Nendeni hata kuzimu kuna wanaumwa kwa Ajili ya kipondo cha jehanamu, Hamna maana Nyie kabisa; bora nitibiwe na nurse kuliko Nyie. Hata mkiniona naumwa mniache.
Mmefanya niñi sasa Nyie wanafiki kumwomba rais msamaha? Siku zote watu walipokuwa wanakuga kwa migomo yenu mtawaombea Wapi msamaha?
Nyambafu
usinikumbushe sindano za manesi wetu waliokosa ujuzi wa kutosha.
Huna unalolijua. Nesi huwa hatibu, bali kutekeleza maagizo ya Dr.
Mfamasia hatibu, ila kutoa dawa kwa maelekezo ya Dr.
Mtaalam wa maabara hatibu, ila kufanya uchunguzi ili kuthibitisha au kuukanusha ugunduzi wa ugonjwa alioubaini Dr.
Hivyo, Dr ndiye mtaalam wa afya hasa anaeanzisha mchakato wa tiba, na bila yeye hutibiwi!
Uwe unauliza kwanza kabla hujaropoka.