Madactari tuhamie kusini.

Mimi nina swali dogo sana, hivi hawa Madaktari ni kwa nini watu wanawachukia sana? Hivi wameshajiuliza (Madaktari) hilo swali? Kwa nini katika taaluma zote mnachukiwa ninyi tu? Mbona walimu pia wanagoma lakini hawachukiwi kama ninyi ni mambo ya ajabu sana, yaani chuki Wananchi waliyonayo kwenu nafikiri haina tofauti na chuki waliyonayo dhidi ya Polisi mmeshakaa na kujiuliza kwa nini lakini?
 
Maelezo yako hayanisaidii wala hayajibu swali langu la kuwaacha watu wafe then kuja ku appologize, muderers

hapo inabidi uelewe ya kwamba madaktari wetu ni watu wa kawaida na hivyo kama binadamu wanahaki ya KUOMBA MSAMAHA pale panapotokea itilafi. NAPINGA kwa moyo wote ya kwamba doctors ni murderes lakini ebu fikiria , MTU anakufa pale anapokosa huduma ya afya au huduma KUCHELEWA kufika au HUDUMA HAFIFU au SIKU IMEFIKA. kwa hiyo lawama zote ziende kwa anayemtibu, kwa anaye mletea dawa , kwa anaye muuguza na mwisho LAWAMA KWA MUAJIRI(SERIKALI NA BINAFSI). usiwaonee madaktari wetu bali wahusika wakuu ni wote hapo juu!!!
 
unazo nguvu za kutukana uwezavyo kwa kua huumwi kwa sasa.am sure siku yakikukuta utajutia maneno yako.
walioomba msamaha ni wajinga fulani walionunuliwa na serikali ili kuwafanya wananchi waone madactari ndio wenye makosa.
 
kazi tuliyofanya kwa malipo duni inatosha kurudisha mkopo wenu na kuzidi.
 
Mimi nina swali dogo sana, hivi hawa Madaktari ni kwa nini watu wanawachukia sana? Hivi wameshajiuliza (Madaktari) hilo swali? Kwa nini katika taaluma zote mnachukiwa ninyi tu? Mbona walimu pia wanagoma lakini hawachukiwi kama ninyi ni mambo ya ajabu sana, yaani chuki Wananchi waliyonayo kwenu nafikiri haina tofauti na chuki waliyonayo dhidi ya Polisi mmeshakaa na kujiuliza kwa nini lakini?

Ni chuki tu !Ukweli ni kuwa wengi wetu tulishindwa kuhimili elimu ya sayansi! Kwa waliokazana na kufanikiwa kama ma dr waache watambe wanastahili!
 
[h=2] Re: Madactari tuhamie kusini , .,,,,,yaani hata fani yako kuiandika huwezi.?du we nenda tu huko[/h]
 
Unangoja nini?
Wiki iliyopita washkaji zangu wawili walipata mkataba wa miaka 3 namibya kwa mshahara mnono,jana jamaa wangu wa karibu pia ameitwa botswana kwa mkataba wa miaka 5 na mshahara wa kutakata.hakuna haja kulumbana na mwajiri asiyeweza kunilipa,hata mimi ngoja nisake pa kwenda.
 
Mimi nina swali dogo sana, hivi hawa Madaktari ni kwa nini watu wanawachukia sana? Hivi wameshajiuliza (Madaktari) hilo swali? Kwa nini katika taaluma zote mnachukiwa ninyi tu? Mbona walimu pia wanagoma lakini hawachukiwi kama ninyi ni mambo ya ajabu sana, yaani chuki Wananchi waliyonayo kwenu nafikiri haina tofauti na chuki waliyonayo dhidi ya Polisi mmeshakaa na kujiuliza kwa nini lakini?

wewe , POLISI , IKULU NA WATAWALA ndoo mnawachukia madaktari. labda useme unachukia KILE KITENDO CHA KUGOMA,lakini upende usipende siku ukifa lazima daktari watamuhitaji ili wakucertify ya kwamba umekufa na haijalishi ndugu zako wanamchukia au wanampenda!! kwa hiyo take home, UWACHUKIE, UWAPENDE UNAFAIDIKA NINI kama si kujipendekeza kwa hao wataalamu, please mind your own matters!!!
 
anayemchukia dr. ni mwendawazimu na atagundua ujinga wake pindi atakapo ugua.naamini hata wewe siku sio nyingi utajutia maneno yako.mungu akusamehe bure maana hujui utendalo.
 
Back
Top Bottom