Madabida kizimbani kesho

Status
Not open for further replies.

Mwitongo

JF-Expert Member
Jan 30, 2009
312
360
Wadau, habari za uhakika nilizozipata punde tu ni kwamba yule Mgombea uenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Madabida, kesho anafikishwa Mahakama Kuu. Anashitakiwa na waathirika wa Ukimwi kutokana na kiwanda chake cha TPI kilichopo Arusha kutengeneza na kusambaza dawa feki za kupunguza makali ya VVU. Waathirika wanadai mamilioni ya shilingi kama fidia.

my take: Huyu Madabida ni janga la kitaifa.
 
una hakika sio wafuasi wa Guninita?
 
una hakika sio wafuasi wa Guninita?

Hata kama ni wafuasi wa Guninita, potelea mbali. Heri Guninita au Chizii kuliko huyu muuaji! Fikiria, kuwa na mfanyabiashara anayetengeneza dawa alizotia unga wa ngano akisema zinapunguza makali ya ukimwi, ni janga la kitaifa. Huyu alistahili kitanzo! Kama China walinyonga kwa mtu kuharibu maziwa, inakuwaje huyu aendelee kutamba?
 
I wish tungekuwa China. muda mchache ujao tungekuwa tunasema "Madabida is no more!"
 
Shishiemu ni magumashi magumashi kila sekta..........................Only time will tell:
 
Wadau, habari za uhakika nilizozipata punde tu ni kwamba yule Mgombea uenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Madabida, kesho anafikishwa Mahakama Kuu. Anashitakiwa na waathirika wa Ukimwi kutokana na kiwanda chake cha TPI kilichopo Arusha kutengeneza na kusambaza dawa feki za kupunguza makali ya VVU. Waathirika wanadai mamilioni ya shilingi kama fidia.

my take: Huyu Madabida ni janga la kitaifa.
Inatakiwa kuwa kesi ya jinai, si kesi ya madai.
 
Wadau, habari za uhakika nilizozipata punde tu ni kwamba yule Mgombea uenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Madabida, kesho anafikishwa Mahakama Kuu. Anashitakiwa na waathirika wa Ukimwi kutokana na kiwanda chake cha TPI kilichopo Arusha kutengeneza na kusambaza dawa feki za kupunguza makali ya VVU. Waathirika wanadai mamilioni ya shilingi kama fidia.

my take: Huyu Madabida ni janga la kitaifa.

Safi sana tena reference za wanasheria wachukue case studies za kesi za nje kabisa ili kiwanda hiki kife maana ndiko wanakopata fedha za kuhonga washinde. Wachafuzi hawa wasio kuwa na huruma.
 
Atashinda kesi,kama zombe aliua live akapeta itakuwa huyu ambaye madhara ya dawa zake ni qualitative na hakuna uthibitisho wa moja kwa moja kwamba zimesababisha madhara
 
..................... kama wangekuwa na umoja ........ sijui......... ngoja nisubiri hiyo kesho
 
Haya ndo mambo yanatakiwa yakusanywe pamoja na mengine ili ikifika 2015 iwe ndo kampeni evidence!! Udhaifu kila kona na hatuwezi kuendelea kuongozwa kidhaifu.
 
CCm watamalizana wao kwa wao kwa ulafi wa pesa na madaraka.........Guninitaaaaa............

Madabida mlafi wa fedha, madaraka na kwa sababu siri zake zinafahamika, kamalizwa wala hana ham tena ya kugombea

Na wale ndugu zetu walopewa dawa feki watammalizia na kumchinjia baharin kwa kudai fidia kubwa. Chezea ccm weye!
 
Mhhh! Mbona haya yanayoendelea ni aibu tupu na yanahuzunisha? CCM, kila mtu mtata lazima awe mwanachama wake?
 
CCM ni kichaka kilichoficha genge la majambazi,wauaji,mafisadi.mwana ccm yeyote anawaza tumbo lake isipokua Dr.magufuli
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom