Madabida kizimbani kesho

Status
Not open for further replies.
Wadau, habari za uhakika nilizozipata punde tu ni kwamba yule Mgombea uenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Madabida, kesho anafikishwa Mahakama Kuu. Anashitakiwa na waathirika wa Ukimwi kutokana na kiwanda chake cha TPI kilichopo Arusha kutengeneza na kusambaza dawa feki za kupunguza makali ya VVU. Waathirika wanadai mamilioni ya shilingi kama fidia.

my take: Huyu Madabida ni janga la kitaifa.

Upepo huu, utapita tu
 
baba nanihino mbona haongei wakati na yeye anaweza kula hizo feki,au yeye anaishi kwa kula za nje.
 
  • Thanks
Reactions: awp
umwache apelekwe mahakamani akaeneze udiniwake mana uyu jamaa ana mambo mengi ktk chama chake alikua anaeneza udini ktk taifa anaeneza madawa feki ok mwache apande kizimbani
I wish tungekuwa China. muda mchache ujao tungekuwa tunasema "Madabida is no more!"
 
Huyu ana nguvu ya pesa na pia ana nguvu ya chama chao. Hatadhuriwa na mahakama.
 
serikali yetu ndio ilitakiwa kumpandisha mahakamani, lakini kwa kuwa ni serikali dhaifu, inaogopa kwa sababu eti anachangia chama.
Ndugu zangu, hakika nawajulisha, hii kesi itafutwa,.
 
Status
Not open for further replies.
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom