Mada Maalum kwa Wahasibu, Wakaguzi wa Mahesabu na Wataalam wa Kodi

Anyway tuache kubishana about CPA na ACCA let us focus On issues sio ujanja ,remember professional bevavior na due care, tusiweke majibizano uchwara yanayoweza kuondoa reputation ya professional kwani thread hii hata watu wa BA.kiswazi wanaweza pitia kujua kunani
 
dah,yan km umekuwa certified cpa(T) alaf haijakusaidia zaid ya excutershipna vngne vichache as u said basi utakuwa na tatizo wewe may be kwavile huwez kusema cpa(T) sio useful ukiringanisha na acca.

CPA haisaidii zaidi ya jina tu maana kazini nilianza kufundishwa upya uhasibu lakini baada ya kupata diploma tu ya ACCA sijawahi kuwaza kufanya kazi local company tena maana nilipata confidence ya kuomba multinational company na nilifaulu vizuri sana interview na kiwabwaga CPA kibao.
Ngoja niwarushie course outline ya hiyo diploma mnaweza kuona tofauti yetu na wao
 
Angalia hapo
 
Attachments

  • 1443352262753.jpg
    1443352262753.jpg
    42.2 KB · Views: 317
Malizia na hapo
 
Attachments

  • 1443352293397.jpg
    1443352293397.jpg
    55.1 KB · Views: 261
Sasa hiyo ni diploma tu na mtihani una cover 80% ya syllabus na pass mark ni 50%.
Hapo CPA holder hatii mguu.
sasa hiyo mtihani wa P2 ambao ni final exam ni shida.tukubali kuwa wenzetu wanakufundisha kiasi kwamba ukiajiliwa upati kazi kucopy lakini CPA lazima upigwe msasa sana kazini ndio uwe compitent kwa mtu aliyewahi au anafanya kazi big 4 za auditing firm atanielewa jinsi wanavyowapa training nyingi za kutosha mpaka uwe compitent
 
Wakuu mi nataka kusoma Aci dealing certificate kutoka Aci financial markets association,kwa hapa bongo huduma hii nitaipata wapi?
 
Sasa hiyo ni diploma tu na mtihani una cover 80% ya syllabus na pass mark ni 50%.
Hapo CPA holder hatii mguu.
sasa hiyo mtihani wa P2 ambao ni final exam ni shida.tukubali kuwa wenzetu wanakufundisha kiasi kwamba ukiajiliwa upati kazi kucopy lakini CPA lazima upigwe msasa sana kazini ndio uwe compitent kwa mtu aliyewahi au anafanya kazi big 4 za auditing firm atanielewa jinsi wanavyowapa training nyingi za kutosha mpaka uwe compitent

CFA (Certified Financial Analyst) Paper zake huwa zinafanyika bongo vipi soko lake?
 
pls tusigeuke watoto wa chuo tunashindanisha vyuo hapa
whether una cpa au acca u are qualified ishu ni ufanyaji wako wa kazi na unaisaidiaje taasisi kwenye ishu za finance and acc

lets grow up
 
Na izo CPA & ACCA zina chukua mda.gani hadi kumaliza ni miaka mingapi....
 
na kwa anae maliza cpa(T) anakua exempted kufanya mitihani ipi kwenye acca?Je kuna uwezekano akaanzia professional stage na sio foundation stage?
 
Haya wadau,karibuni sana kwenye sherehe za graduation za CPA zitakazofanyikia Bunju-Dsm siku ya jumamosi tarehe 3/10/2015.
Aisee wameipeleka mbali kweli! Nakumbuka wakati bado naisaka miaka ya 2010 wakati napiga review class pale DIT kwa Msasira; siku ya graduation tulikuwa tunaenda kuwaangalia waliovaa majoo! Ilikuwa inatupa hasira na kututia moyo pia kuwa yote yanawezekana. Ilikuwa ni sehemu ya motivation! Sasa kama imeenda bunju, vijana hawatopata watu wa kuwatia hasira kwa kuwa hawatowaona! Nimekumbuka mbali kweli! APT financial consultancy kwa babu Msasira.
 
ni kosa tu la type error ila usizame sana kushambulia mana upo out of thread

We jamaa bwana! Umekosewa juu ya matumizi ya x na s. Nilitarajia next comments utajisahihisha bado umekuja na kituko kingine...🏃🏿🏃🏿
 
Aisee wameipeleka mbali kweli! Nakumbuka wakati bado naisaka miaka ya 2010 wakati napiga review class pale DIT kwa Msasira; siku ya graduation tulikuwa tunaenda kuwaangalia waliovaa majoo! Ilikuwa inatupa hasira na kututia moyo pia kuwa yote yanawezekana. Ilikuwa ni sehemu ya motivation! Sasa kama imeenda bunju, vijana hawatopata watu wa kuwatia hasira kwa kuwa hawatowaona! Nimekumbuka mbali kweli! APT financial consultancy kwa babu Msasira.

Musasira alikuwa Mkoloni sana nakumbuka siku moja alisitisha kipindi kisa simu ya mtu iliita
 
Back
Top Bottom