Mada Huru: Ni Mtangazaji yupi anayekuboa zaidi?

Wadau hebu leo tutoe ya moyoni kuhusu watangazaji wetu wa redio na televisheni.. Ni yupi anayekuboa zaidi kufikia hatua ya kubadilisha hata channel unapomsikia?

Kwa upande wangu ni watangazaji watatu;

Wa kwanza ni huyu mtangazaji wa Redio one wa habari za Magazeti anaitwa Neema Kindole. Daaaah huyu dada usomaji wake unaniboa na kama amekariri maana lazima atumie maneno yaleyale day in day out hana ubunifu kabisa.. Pia kabla ya kusoma magazeti atachukua kama dakika tatu kuelezea wadhamini as if hao wadhamini hawana matangazo yao ya kujielezea... Too pathetic.

Mtangazi wa pili ni huyu wa Clouds Fm anayeitwa Likuda wa kipindi cha Jahazi. Huyu jamaa mpaka leo sijamsoma rika lake yaani ni mtoto, teenager, rika la kati ama mtu mzima.... Maana ana mambo ya kitoto mpaka anaboa.. Nikimsikia akiongea huwa natamani kutapika. Huyu jamaa alifaa awekwe kwenye kipindi cha XXL ama cha watoto Show sio kwenye Jahazi.

Mtangazaji wa tatu anaitwa Amri Masari wa Radio One Sports Show.... Nafikiri huyu mshikaji ni mfano mzuri wa ukanjanja.. Hivi ushawahi kumsikia akiuliza maswali? Too pathetic, maswali ya kitoto kabisa hapa ndipo una miss maswali ya mtu kama Maulid Kitenge ama Alex Lwambano wanauliza maswali ya ukweli bila kupepesa macho..

Maswali maarufu ya Amri Masari;

1. Unauzungumziaje mchezo huu?
2. Safu yenu ya kiungo ilionekana imepwaya?
3. Mmejipangaje na mechi inakuaje?

Too predictable questions..

Wadau zamu yenu kujimwaga sasa....
"Dulla wa planet bongo, anaongea ka anaita demu"
 
Anayeniboa kupita wote ni Hemedi Kivuyo na simulizi zake zisizokuwa na kichwa wala miguu
 
Kuna mtangazaji wa clouds anatangaza usiku baada ya kipindi cha michezo yaani kiukweli kutoka moyoni siwezi kumsikiliza hata dakika 1, wa pili ni mtangazaji wa kiume wa eatv anatangaza kipindi cha friday night live mwanaume anabinua binua midomo kama gasho. Yaani ni hao tu
 
Irene Tillya

Nassir Kingu

Ritha Chuwalo

Hili ingizo jipya la Ea Radio

Ea drive ni kipindi kilichoharibiwa na hao wawili wa juu,wanaweza kuwa na taaluma ya hyo tasnia wapo lakini hawana mvuto kiujumla.

Irene ukimsiliiza unamjua yeye hadi ukoo wake,hawezi kuingia ktk kipindi akadeliver alichoandaa bila bila kuhusisha maisha yake binafsi mfano mahusiano yake(kwamba hana bwana hajaolewa na bwana wa kariba fulani hamkubali) huwa sidhani tunapaswa kujua hayo
Kidogo tu mze tillya mze tillya,mara sinza sinza mara arusha duh!

Nassir Kingu ni very good dude ila habari zake za kujifanya ye ndo kakaa sana india ko kila mfano akitolea India.

Ritha chuwalo boring radio presenter ever yaani kumsikiliza huyu inabdi ujikaze sana anaongea vtu unajiuliza huyu mbona kama mdomo na ubongo havishirikiani?

Siyajui yaliyo ndani Ea Radio ila kitendo cha Seba Mwaikambo kuondoka pale kilipunguza hadhi ya Ea drive,baadae Basil alimudu kipindi safi sana na sikujua sababu ya yeye kujifanya PJ asubuhi ktk uchambuzi wa magazeti na kina diallo,hawa waloletwa sa hv mmmh ni hawavutii kipindi kabisa
 
Mlandege... Naisi mawazo yetu yana fanana kwa kiasi na kupishana kwa mbali kidogo

Ea drive Basil arudi.. Ndie angalau aliweza kuimudu nafasi ya seba. Irene apewe kipindi kingine ata cha wanawake...akajisifu uko cse ana maneno meeengi na kujiona kila kitu anakifaamu yy...Kingu arudi kwenye magazeti...na nilisikia yeye ndo mkuu wa vipindi.. Sasa kama kapangua ili nayy apate kipindi atambue hana wasikilizaji..... Kwa upande wa kina Isack,Ian na Fundi wale Mimi sioni kama wana tatizo.. Tena wale wakiondoka nadhani nitakua sina kipindi tena Ea.redio
 
Mimi bwana, Didah, maimartha jesee, Ben kinyaiya, na sauda mwilima, na karibia watangazaji wa radio free wote, hawana vipindi vya maana na hawana kabisa uwezo wa kushawishi msikilizaji asikilize
 
Uko sahihi HOPECOMFORT kingu na Irene wamepoteza wasikilizaji naamini,wale wa asubuhi wako poa
 
I concur na mm pia. Basil Mbakile alijitahidi uncover pango la flavour, lakini hawa linguistics na Irene wameipoteza kbs EA Drive.

Jingine, mm ningeshauri EA radio waache kuwacopy Clouds wanapoteza utamu. Nasema, hivyo sbb kwa mawazo yangu na mwingine humu aiyecomment, nu kama EA radio wamemcopy PJ na kumfanya Basil kuwa PJ wao kitu ambacho si sawa. Basil na PJ NI watu wawili tofauti. Basil ni bonge la presenter wakati PJ sio. PJ yuko kama comedian fulanj hivi hutakiwi kumsikiliza muda mrefu kwani pia hayuko deep kwenye issues. Ndio maana Clouds hana kipindi chake yeye kama yeye. Kumfanya Basil kuwa msimaji wa headlines za magazetu hawamtendei haki Basil na radio pia haijitendei haki. Sina shaka wanapita huku na watayafanyia kazi mawazo ya wasikilizaji.
 
Umemaliza kila kitu man
 
Mimi bwana, Didah, maimartha jesee, Ben kinyaiya, na sauda mwilima, na karibia watangazaji wa radio free wote, hawana vipindi vya maana na hawana kabisa uwezo wa kushawishi msikilizaji asikilize
Namshukuru Mungu hao sijawahi wafatilia.
 
wa zamadamu anabembeleza kutangaza utadhani Baba anambembeleza mtoto kunywa uji. Yaani anajinyeyekeza mpaka anaboa
Yule anafaa kipindi cha dini /uparoko au cha kuwatakia heri wagonjwa kama bado kipo ha ha ha ha haaaa
Anacho pia
 
Back
Top Bottom