Mada Huru: Ni Mtangazaji yupi anayekuboa zaidi?

Clouds Fm inasikilizwa na watoto/ watu wa mjini mjini ndiyo wanawaelewa lakini wewe wa gongo LA mboto utabaki ukililia tu kwenye mitandao nq radio one inasikilizwa sana sana na watu wa vijijini![/QUO
Ndo maana mna'ga'gani lile bonge kisa mko mjini.Tunavuta pumzi bomoa bomoa kama kawaida.
 
Mara nyingi mida ya jioni ile saa moja ilikuwa namsikiliza MillardAyo mzee wa count down, kipindi alikuwa amekipanga vizuri sana ila kero za matangazo zimesababisha nihamie EA Radio kwa Mamii Babie na DJ Sinyorita nadhani kipindi kinaitwa Gheto langu au Cruz kitu kama hicho, though info nyingi wanazitoa TMZ lakini siyo mbaya.

Huyu dada napenda sana kusikia anavyotangaza aisee, nashukuru siku hizi lile lidogo linaitwa Sam Misago halipo kwenye hicho kipindi make likiwepo inabidi nihame channel.

Ila Mamii Babie Big-Up sana, DJ Sinyorita safi sana, enzi zile DJ Mackay au Mafuvu walikuwa pia wanawakilisha vizuri.
 
Bazil Mbakile anayetangaza vichwa vya habari East Africa radio asbui saa moja na nusu,yabi anasoma kama hana uhakika au hayuko serious kumvuta msikilizaji kabisa kama anajisomea mwenyewe
 
Hakuna mtu alie nifanya nisisikilize The Cruz kama huyo Mami Babe. Hana Info za wasanii, Haongei akaeleweka. SAM MISAGO ndio namkubali. Dogo anajua story za wanamziki hadi raha.


Mara nyingi mida ya jioni ile saa moja ilikuwa namsikiliza MillardAyo mzee wa count down, kipindi alikuwa amekipanga vizuri sana ila kero za matangazo zimesababisha nihamie EA Radio kwa Mamii Babie na DJ Sinyorita nadhani kipindi kinaitwa Gheto langu au Cruz kitu kama hicho, though info nyingi wanazitoa TMZ lakini siyo mbaya.

Huyu dada napenda sana kusikia anavyotangaza aisee, nashukuru siku hizi lile lidogo linaitwa Sam Misago halipo kwenye hicho kipindi make likiwepo inabidi nihame channel.

Ila Mamii Babie Big-Up sana, DJ Sinyorita safi sana, enzi zile DJ Mackay au Mafuvu walikuwa pia wanawakilisha vizuri.[/QU
 
Hiyo tisa sasa balaa huku Mtwara kuna mtangazaji wa redio Newala fm sijui anaitwa Chado Bina!!!! Huyu jamaa ndio kabisa hawez kutangaza, kuna Mwingine yupo redio moja pale Mtwara mjini anaitwa Hamza Mbowa nae sijui ana element za kike yaan anabana sauti mpaka anakera.
 
Watangazaji wote wa TBC! yaani nikimuona mtu anaangalia tbc huwa namshangaa sana,halaf huwa natakari sana IQ ya huyo mtu. Na sasa star tv...Aiseee.......!!!
 
Jamaa mshamba sana yule,sijui kaajiliwa kwa vigezo gani vya uandishi wa habari,anafanya tofauti na taaluma inavyotaka,huwa natamani wahusika wa serikali waifute ile radio kwa ajili yake,ana sifa hadi unachefukwa..
Kaka bila shaka we utakua mwanachuo wa Mkwawa,Ruco ama tumaini teh teh teh maana wanachuo wanaume hawampendi huyu jamaa sababu anawakaza sana dada zao wa hivyo vyuo teh teh halafu mbaya zaidi anajisifia mpaka redioni......
Yule namjua sana.Ana mapacha wake anawanadi mpaka kero.Jamaa mwenyewe alikuaga mwizi mwizi tu na alishafungwa kwa kesi ya kuiba mbuzi.Siku mbili tatu akaibukia Udj club Ruaha International hatujakaa sawa mtangazaji Ebony Fm.Shule hamna kabisa ni ujanja ujanja tu basi
 
Wadau hebu leo tutoe ya moyoni kuhusu watangazaji wetu wa redio na televisheni.. Ni yupi anayekuboa zaidi kufikia hatua ya kubadilisha hata channel unapomsikia?

Kwa upande wangu ni watangazaji watatu;

Wa kwanza ni huyu mtangazaji wa Redio one wa habari za Magazeti anaitwa Neema Kindole. Daaaah huyu dada usomaji wake unaniboa na kama amekariri maana lazima atumie maneno yaleyale day in day out hana ubunifu kabisa.. Pia kabla ya kusoma magazeti atachukua kama dakika tatu kuelezea wadhamini as if hao wadhamini hawana matangazo yao ya kujielezea... Too pathetic.

Mtangazi wa pili ni huyu wa Clouds Fm anayeitwa Likuda wa kipindi cha Jahazi. Huyu jamaa mpaka leo sijamsoma rika lake yaani ni mtoto, teenager, rika la kati ama mtu mzima.... Maana ana mambo ya kitoto mpaka anaboa.. Nikimsikia akiongea huwa natamani kutapika. Huyu jamaa alifaa awekwe kwenye kipindi cha XXL ama cha watoto Show sio kwenye Jahazi.

Mtangazaji wa tatu anaitwa Amri Masari wa Radio One Sports Show.... Nafikiri huyu mshikaji ni mfano mzuri wa ukanjanja.. Hivi ushawahi kumsikia akiuliza maswali? Too pathetic, maswali ya kitoto kabisa hapa ndipo una miss maswali ya mtu kama Maulid Kitenge ama Alex Lwambano wanauliza maswali ya ukweli bila kupepesa macho..

Maswali maarufu ya Amri Masari;

1. Unauzungumziaje mchezo huu?
2. Safu yenu ya kiungo ilionekana imepwaya?
3. Mmejipangaje na mechi inakuaje?

Too predictable questions..

Wadau zamu yenu kujimwaga sasa....
Hii pia ni moja ya hulka za binadamu hukerwa na mtu ambaye hajawahi kukutananaye
 
nafikiri Basil Mbakile anapitaga humu,leo kabadilika kweli ka improve.Big up bro endelea hivohivo ss,ukirudi nyuma nakuchana tena humuhumu
 
nafikiri Basil Mbakile anapitaga humu,leo kabadilika kweli ka improve.Big up bro endelea hivohivo ss,ukirudi nyuma nakuchana tena humuhumu
Uyo bazili umeanza kumsikiliza lini... Kwaiyo kakusoma ww ndo akabadilika!!!!! Aiukua lazima u post ili naww uonekane umechangia. Bazil always yupo makini, unataka atiririke magazeti kayaandika yy??
 
Back
Top Bottom