Mada: Fahamu mbinu mbalimbali zinazoweza kukuwezesha kupata mtoto wa kiume

Watoto ni baraka. Ila mkuu ukitaka mtoto wa kiume unaweza kujaribu hii formula ya kisansi. Kula vyakula vya asili ambavyo vinaongeza nguvu za kiume.
Ijue kalenda ya mke wako, alafu usifanye tendo kwa muda wa wiki mbili.
Mtoto wa kiume anapatikana siku ya 14 tu na siku hiyo utaona kuna ute mzito ukitoka ukeni kwa mkeo.
Njia hii inakupa 75% kupata mtoto wa kiume.
 
Wakuu Habari? Mimi ni kijana wa miaka 39 ambaye ni baba wa watoto 6(wote wasichana.

Nimetafuta mtoto wa kiume kwa muda mrefu bila mafanikio. Nampenda mke wangu na nisingependa kuowa au kazaa na mwanamke mwingine. JF inatusaidia kupata ushauri wa bure. Naombeni mnishauri nifanyeje kwani nilipanga kuwa na watoto watatu, leo na watoto 6 kwasababu hitaji langu bado halijakamilika.

Naomba ushauri kwani nimepata ushauri wa kitabibu bila mafanikio.
bure ina gharama zake.... waone wataalamu wa afya ya uzazi kwa maelekezo ya uhakika.... wakishinwa basi irejee imani yako, "watoto wanatoka kwa Mungu"
 
Wakuu Habari? Mimi ni kijana wa miaka 39 ambaye ni baba wa watoto 6(wote wasichana.

Nimetafuta mtoto wa kiume kwa muda mrefu bila mafanikio. Nampenda mke wangu na nisingependa kuowa au kazaa na mwanamke mwingine. JF inatusaidia kupata ushauri wa bure. Naombeni mnishauri nifanyeje kwani nilipanga kuwa na watoto watatu, leo na watoto 6 kwasababu hitaji langu bado halijakamilika.

Naomba ushauri kwani nimepata ushauri wa kitabibu bila mafanikio.
Kula vyakula vya protein kwa wingi, matunda na mbegu( karanga ), kaa kuanzia wiki tatu kabla ya mechi, hapo Y zitakuwa na nguvu.
 
Wakuu Habari? Mimi ni kijana wa miaka 39 ambaye ni baba wa watoto 6(wote wasichana.

Nimetafuta mtoto wa kiume kwa muda mrefu bila mafanikio. Nampenda mke wangu na nisingependa kuowa au kazaa na mwanamke mwingine. JF inatusaidia kupata ushauri wa bure. Naombeni mnishauri nifanyeje kwani nilipanga kuwa na watoto watatu, leo na watoto 6 kwasababu hitaji langu bado halijakamilika.

Naomba ushauri kwani nimepata ushauri wa kitabibu bila mafanikio.
Nilickiaga n kushuhudia.. Uwa inakuwa hivi... Subir ile cku mamaa anapatwa n mzuka wa hatar... Ful genye yan ful kukusumbua mwanaume! Then apo apo ss n u usimlazie dam cku io.... Muwah fasta mpge mambo then tulia, nlickiaga n nkajaga kushuhudia pia io njia ilileta mafanikio... But ushuhuda nliambiwa tuuu
 
Ridhika na ulichopata, unaweza kumpata akawa bogus tuu wala hasikusaidie kitu, ninajua familia nyingi ikiwemo shemeji zangu ambapo watoto wa kike wanaibeba familia kwa sababu kaka yao ni mzigo hana lolote la maana mpaka wazazi wamekiri kwamba hapo wamepata hasara
 
As the fertilisation process begins, if a man releases about five million sperms, half of the sperms will carry X chromosomes, while the other half will carry Y chromosomes. But a woman will always release an egg which carry an X chromosome during fertilisation.

Subsequently, the millions of sperm begin to move towards the X chromosome egg. When either of an X or Y sex chromosome first touches the egg, the other sperms die instantly. Therefore, if an X chromosome fertilises the X chromosome egg, the result is an XX zygote which will be later be given birth to as a female child (females have XX chromosomes). But if a Y chromosome sperm first hits the X chromosome egg, the result is a XY zygote which will later be given birth to as a male child (males have XY chromosomes).

Hivyo mkuu hapa kuna njia mbili ambazo zinaweza kukusaidia.

1. Kama tunavyojua kuwa Y chromosome huwa ina kasi kuliko X chromosome hivo huwa inawahi kufikia yai la kike haraka kuliko X. Lakini pia huwa Y chromosomes hazistahimili kuwa hai kwa muda mrefu kama X. Hivyo mfano ukijamiiana na mwanamke lakini yai likawa halijatoka na likatoka baada ya sasa labda 48 au 72 ni rahisi kwa X chromosome kulirutubisha kuliko Y chromosome ambayo inakuwa imeshakufa muda mrefu. So hapo ni issue ya kujua kalenda ya mkeo na kula timing.

2. Sex position unayotumia pia inaweza kuwa factor. Wataalamu wanashauri utumie position inayoruhusu deep penetration na wakati wa ku cum pale hakikisha uume upo ndani kabisa deep yani kwa matokeo mazuri ya kupata kidume. Hii inatokana na factor kwamba Y chromosomes zinachomoka fasta kuliko X chromosomes hivo uki cum deep inakuwa umezirahisishia kwa kuzisogeza karibu na hivyo kuwahi kufika kwenye yai na kulirutubisha.

Kwahiyo hapo issue kubwa ni timing ya ovulation ya mkeo na deep penetration wakati una cum. Ukiweza ku cum deep na yai likawepo mbona utafurahi

Huo ndo ushauri wangu kwa elimu kidogo niliyonayo kwenye hayo mambo. Ikishindikana basi ni mipango ya Mungu na mshukuru sana kw akukupatia hao wakike maana kuna watu wanatamani sana hata mtoto mmoja ila hawana uwezo wakumpata. Asante
 
Mshukuru Muumba kwa hao ulionao na usisoneneke, weka roho itulie na atakupatia. Ila kuna wataalamu humu wa kusema kuna siku na siku za mambo na utampata.

Sechi pia threads zilizopita.
Nimejaribu kuvumilia nimeshindwa jamani. Nakosa amani ya maisha.
 
Mama yangu mkubwa anatoa hiyo dawa ndo tulijua majuzi baada ya dada kuzaa wasichana tuu. Dada yangu alikuwa na watoto wa3 wa kike mme kaanza kutafuta nje si ndo mama mkubwa kaamua kumpa dawa sasa hivi mtoto wake wakiume ana mwaka. Ila alishawapa wengi ambao tumewajua baada ya tukio
Hiyo dawa haina mashariti anakunywa mwanamke tu.

Ushauri ongea na 0ngea na mama zako watu wazima hizi dawa za kubadilisha uzazi zipo kila sehemu. Ingawa wanafanyaga kwa siri sana. Uwezi kujua kuwa furani ana hiyo dawa mpaka mtu alokunywa hiyo dawa akwambie.
Inaitwaje hiyo dawa?
 
Danger days zinaanza siku 14 tangia mama ameingia period. Mama akishaingia tu period kula karanga mbichi, almond, yoghurt, kunywa maji mengi pia fanya mazoezi. Siku ya 14 mnaanza mechi kwa wiki nzima inayofuatia.
 
Pia unashauriwa usivae nguo za kubana bana manaa joto kali kwenye testicles linauwa zile chromosomes (zote) ila zaidi za Y kwakuwa zenyewe ni dhaifu kuliko X chromosomes.

Unashauriwa wakati wa kujamiiana mwanamke afike kileleni kwanza kabla hujamwaga wazungu kwakuwa yale majimaji yanasaidia ile Y chomosome kusepa kwa haraka zaidi.

Style ya kumweka mweza wako inayopendekezwa zaidi ni "dogy style" kibongo bongo mnaita "mbuzi kagoma"
 
Back
Top Bottom