Mada: Fahamu mbinu mbalimbali zinazoweza kukuwezesha kupata mtoto wa kiume

Aisee nimekukubari mkuu na bado unahitaji kuongeza?
Anza kufanya zile hesabu mkuu mbegu za kiume ziko fasta ila zinakufa mapema za kike slow but zima survive kwa muda mrefu I guess mpaka siku mbili kwa hyo pga show siku za hatari za shemej ili za kiume ziwah zikute yai tayari kwa kurutubishwa....
Usisahau mtoto kumpa jina la jamiiforums kama h.baba na nakupenda tanzania

Note. Post edited baada ya kuwa nimeandika verse versa awali...
 
Wakuu Habari? Mimi ni kijana wa miaka 39 ambaye ni baba wa watoto 6(wote wasichana.

Nimetafuta mtoto wa kiume kwa muda mrefu bila mafanikio. Nampenda mke wangu na nisingependa kuowa au kazaa na mwanamke mwingine. JF inatusaidia kupata ushauri wa bure. Naombeni mnishauri nifanyeje kwani nilipanga kuwa na watoto watatu, leo na watoto 6 kwasababu hitaji langu bado halijakamilika.

Naomba ushauri kwani nimepata ushauri wa kitabibu bila mafanikio.
Nilikutana na kijana wa Zambia siku moja akaniambia yeye ni mtoto wa 11 na ndo mtoto pekee wa kiume. Wazazi wake walipokuwa wamekata tamaa ya kupata mtoto wa kiume, wakampata uzeeni.
Endeleeni kujaribu na kumwomba Mungu. Hata hivyo, mtoto ni mtoto tu. Hizi preference zitatuumiza sana.
 
Sijui ni kwanini, lakini mara nyingi, watoto wa kike huwa wanawakumbuka na kuwacare sana wazazi kuliko wa kiume.

Na hii ni halisi hasa wanapoona wewe na mama yao hamna ugomvi, na hakuna siku mama yao aliwaambia anajuta kuolewa na wewe.

Na upendo kwa wazazi huzidi, kama uliwapa support na kuwajali.

Kama bado huridhiki na watoto wa kike, basi muulize Mungu kwanini amekupa watoto wa kike na sio wa kiume.
 
Mkuu tafuta ile kalenda ya kichina imesaidia watu wengi sana, tena kwa kuanzia jaribu kuwa- project hao zako 6 kwenye hiyo kalenda utaona wote wanaangukia kwe 'she', kikubwa hii kalenda inata ukweli na hasa kwa mke!
 
Mshukuru Muumba kwa hao ulionao na usisoneneke, weka roho itulie na atakupatia. Ila kuna wataalamu humu wa kusema kuna siku na siku za mambo na utampata.

Sechi pia threads zilizopita.
 
Mkuu kuna mikao ya kugegedana ili kupata jinsia ya mtoto umtakaye!,hebu njoo ukuje hapa na useme mikao utumiayo ili nikupe maujanja..
 
Mama yangu mkubwa anatoa hiyo dawa ndo tulijua majuzi baada ya dada kuzaa wasichana tuu. Dada yangu alikuwa na watoto wa3 wa kike mme kaanza kutafuta nje si ndo mama mkubwa kaamua kumpa dawa sasa hivi mtoto wake wakiume ana mwaka. Ila alishawapa wengi ambao tumewajua baada ya tukio
Hiyo dawa haina mashariti anakunywa mwanamke tu.

Ushauri ongea na 0ngea na mama zako watu wazima hizi dawa za kubadilisha uzazi zipo kila sehemu. Ingawa wanafanyaga kwa siri sana. Uwezi kujua kuwa furani ana hiyo dawa mpaka mtu alokunywa hiyo dawa akwambie.
 
Aisee nimekukubari mkuu na bado unahitaji kuongeza?
Anza kufanya zile hesabu mkuu mbegu za kike ziko fasta ila zinakufa mapema za kiume slow but zima survive kwa muda mrefu I guess mpaka siku mbili kwa hyo pga show siku moja kabla ya siku za hatari za shemej ili za kike ziwah zikute yai bado zife za kiume mdogo mdogo kama beetle zinafika kitu hichoo wewe....
Usisahau mtoto kumpa jina la jamiiforums kama h.baba na nakupenda tanzania
unamwingiza chaka mwenzio. Ulichosema sio kweli. Tafadhali jaribu kutafuta source nzuri ya taarifa zako. Asante
 
Back
Top Bottom