Mada: Fahamu mambo mbalimbali kuhusu gari aina ya Subaru Forester

altezza gita gari nzuri sana hata me nazpenda ila lina tatzo 1:at high speeds haiko balanced.maana power to weight ratio ni kubwa sana halafu braking yake ni ndogo so its likely to get an accident usipokuwa makini.infact hilo ni tatzo kwa altezza zote hasa hz ambzo zina high ride height.
1 thing to note wen unainunua ni hii,usinunue yenye logo ya lexus kwa mbele,hyo ni 6 cylinder,hizi za kwaida ni 4 cylinder which is yamaha tuned

sio yenye logo ya LEXUS.....HIO NI LEXUS IS200/IS250 SPECIAL FOR EUROPEAN/USA MARKET....wenye bajeti ndogo ndio mmetengenezewa ALTEZZA,HARRIER,WINDOM,CELSIOR
 
mimi na recommend 2005 Subaru Forester x20 kama uko na concern ya fuel consumption au kama huna na unapenda mbio basi kwanini usijaribu subaru forester STI (SG 9)
 
Ndugu i have this car kwa muda wa wiki tatu sasa ni very comfy, na spare zipo tu hata mwenge pale eg. Oil filter yake nimenunua 8000/- na vitu vingine sio ghali kiivo! Pia mafuta sio mbaya sana though yangu ni non turbo charger! From dar to iringa around 500km nimetumia less that 45ltrs! Jus try it its real comfidence in motion


Sent from my iPhone using JamiiForums app

Mkuu ulienda kufanya nn huko? Ila bado inakunywa mafuta. Altezza 1G engine cc 1890 manual, hapo inalamba lita 40 tu na ni moto bati full AC njia nzima.
 
I just wanted to stand out from the crowd and i m enjyng!


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Jus wanted to stand out of the crownd mkuu nothing else


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
ni gari nzuri...''confidence in motion'' aka kitu cha arusha!

mkuu ur right unajua nimehamia arusha miezi kadhaa cha kushangaza magari haya ndo kama fashion huku kila kona ni mengi balaa! Kikubwa kwa gari hili ni very speedy coz hata engine cc zake mengi ni >2000
 
haya magari arusha ni kama yanatengenezewa pale.
ni mengi aafu machalii wanayaendesha kwa fujo kishenzi!!
 
Ndugu members samahani mi sina ujuzi saana na magari, Kuna jamaa anataka kuniuzia gari aina ya SUBARU Forester kwa gharama 14M, Ina cc 2000, Kwa mwenye uzoefu wa hizi gari hasa, ulaji mafuta, vipuli, na matatizo mengineyo nomba mnisaidie. Nawasilisha hoja.
 
Kiukweli hiyo gari ni nzuri sana, aitumii mafuta mengi kama watu wanavyosema kinachotakiwa ni service kila muda unapofika, nakushauri nunua kuanzia mwaka 2002 ndo vimekaa poa sana, karibu kwenye ulimwengu wa subaru a.k.a mnyamaaaaah
 
Back
Top Bottom