CYBERTEQ
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 7,341
- 4,046
Subaru's are for people who love cars,people who understand the beauty of perfomance.may be the reason kenyans buy more subarus than we do here in TZ-kenyans are ahead of us education wise and development wise.
I suggest you buy that car and you will never be dissapointed!kuna watu wako tayari kununua Toyota kwa sababu spea bei rahisi,what is the use of a cheap spare part if you need to change it every 3 months?
kwa wanamahesabu,ipi rahisi over time?15,000tshs spare that u will buy 4 times a year or a 35,000tshs that you will buy only once a year?go figure.
anyways,watanzania wachache sana wanapiga hesabu in long term figures,no wonder tuko tayari kununua saa feki 10 kila mwaka for 20,000 lakini ukimwambia mtu atumie 200,000 kununua saa original atakayokaa nayo miaka 10 unakuwa ugomvi.
wadau mwenye uzoefu na mazda premio nmeipenda nataka kununua
CYBERTEQ OLESAIDIMU Kaizer MANI mnahitajika huku...Habari zenu wana JF. Nina dream za kununua gari aina ya Subaru Forester nimetokea kuipenda sana gari hii. Msaada wa ushauri toka kwenu ni kwamba nahitaji kujua gari inatumia Lita 1/how many Kms, spare parts zinapatikana kiurahisi, Nini umadhubuti wake, ni vipuri gani huwa vinasumbua mara kwa mara na vinapatikana? Kwa heshima na taadhima naomba msaada wenu ndg zangu
Ka gari hiyo inabidi asiwaze mafuta maana sio economy kwa watu wa hali ya chini..sema ina turbo charger na maspeed ya kufa mtu so barabarani huonewi. Spare parts zipo za kumwaga na ukifunga ndo unasahau sio kama corolla ila pia ni bei ghali kidogo. Kiufupi kwa mtu mwenye kipato cha kueleweka haimsumbui. RRONDO nimekuja kiongozi
Asante brother kaizer ushauri nimeupenda sanaKa gari hiyo inabidi asiwaze mafuta maana sio economy kwa watu wa hali ya chini..sema ina turbo charger na maspeed ya kufa mtu so barabarani huonewi. Spare parts zipo za kumwaga na ukifunga ndo unasahau sio kama corolla ila pia ni bei ghali kidogo. Kiufupi kwa mtu mwenye kipato cha kueleweka haimsumbui. RRONDO nimekuja kiongozi
Nimekubali kaka na ninaipenda zaidi hyo hapo uliyoitupia kwa picha