Machangudoa wanaofanya biashara yao sinza wakamatwa

Watoa huduma hawa...



Mgambo wa jiji la Dar es Salaam wakiwa katika zoezi la kuwakamata Madada wanaofanya biashara ya kuuza miili yao wajulikanao kama Machangudoa katika eneo la Sinza. Picha mbalimbali zikionyesha namna walivyokuwa wakipakiwa ndani ya Gari tayari kwa kupelekwa katika vyombo vya sheria
Wanunuaji mbona siwaoni katika picha?
 
Nadhani hawa watu wangetengenezewa vitambulisho vyao vinavyoonyesha particulars zao na kuwafanya walipe kodi, atakayeshindwa anashtakiwa na hukumu yake ni kumpeleka mashamba ya ujamaa huko akalime miaka miwili then aje tena mjni, ukweli ni kwamba hiyo biashara haiwezi kwisha
 
We have to officiate the business, wafanye kazi zao kwa aman na pia watacontribute kwenye pato la taifa though tax
 
Kwanin wasingewakamata wateja wao? Maana bidhaa bila wateja hakuna kitu.
 
Nadhani wangeanza kuwakamata wateja wao, wakikosa soko wangebuni biashara nyingine.
 
Tuache kudhalilisha wanawake kwasababu ya umalaya, Hakuna kosa mtu kuuza mwili wake, cha msingi walipe kodi.
 
Tuache kudhalilisha wanawake kwasababu ya umalaya, Hakuna kosa mtu kuuza mwili wake, cha msingi walipe kodi.
 
Wanatakiwa kupatiwa support ya kisaikologia! Na kama hawana hata msingi wa biashara nyengine tofauti na hiyo basi waweze kushauriwa kujiunga na vikoba na kupatiwa mikopo ya biashara ambazo zinaruhusiwa kisheria!!
 
Back
Top Bottom