Machali kujiuzulu ubunge?

Ni endapo David Kafulila (mb) au Hashim Rungwe atafanikiwa kuwa mwenyekiti wa NCCR-MAGEUZI.

Moses Machali ni mbunge pia kupitia NCCR-Mageuzi.

SOURCE: TBC1 news bulletin.
Ukoo wa Moses Machali una matatizo ya Akili na Ndio Maana Mbatia anatumia mwanya huo kujinufaisha!Moses Machali akiwa darasa la tano alilazwa Milembe na kama anabisha nitaweka hapa.Baba yake Mzee Machali yupo Milembe hadi sasa hivi.Mtoto wake Moses Machali yupo Milembe mpaka sasa amelelazwa kwa utindio wa Ubongo .Mdogo wake Moses Machali yupo Kasulu anavaa Chupi kichwani!.Sasa wana Jf sisi sote ni great thinker najua humu wapo waliokaribu na Mh Machali,muulizeni .!!Tunaweza kuwa tunachangia thread ya mawazo ya mtu mwehu!
 
King king, hii si mara yako ya kwanza kukishambulia chama cha NCCR-Mageuzi. Ushindwe, pamoja na wote waliokutuma (kama wapo). Kama unamtaka mbunge wetu awe na heshima, jifunze wewe heshima kwanza kwa kuandika majina ya watu kwa usahihi, na kuachana na chama ambacho hakikuhusu. Kama unataka undani wa NCCR-Mageuzi njoo ujiunge, sio kukaa pembeni na kufanya kazi ya kiibilisi; fitina na hiana kwa nyumba usiyolala.
NC CR ni Chama cha Umma na si Mbatia pekee, sisi wadau tunapaswa kukosoa vyama vyote kama alivyofanya KingKING,AMEKOSOA cdm,ccm,na cuf ,sasa kama unahoja jibu?.Kama Mbatia kakutuma mwambie nina taarifa za yeye kuhamisha pesa Benk CRDB mbezi Beach na uchafu wote utakuwa hapa!Tunataka ibirisi atoke halafu wewe unamulinda!.
 
Kwa nini usikemee Wajumbe wa Nec waliompa Mbatia siku 21 na hata wenyeviti wa mikoa Kigoma, Mbeya, Zanzibar, Dodoma.
K
 
Ukoo wa Moses Machali una matatizo ya Akili na Ndio Maana Mbatia anatumia mwanya huo kujinufaisha!Moses Machali akiwa darasa la tano alilazwa Milembe na kama anabisha nitaweka hapa.Baba yake Mzee Machali yupo Milembe hadi sasa hivi.Mtoto wake Moses Machali yupo Milembe mpaka sasa amelelazwa kwa utindio wa Ubongo .Mdogo wake Moses Machali yupo Kasulu anavaa Chupi kichwani!.Sasa wana Jf sisi sote ni great thinker najua humu wapo waliokaribu na Mh Machali,muulizeni .!!Tunaweza kuwa tunachangia thread ya mawazo ya mtu mwehu!

Sikubaliani na mawazo yako,huwezi kuanika mambo ya mtu kiasi hiki hata kama haendani na sera zako.
 
Jemus Mbatia kabla hajawa mwenyekiti naye alifanya mapinduzi sasa ni wakati wake kupinduliwa kwani ni Kibaraka wa CCM
 
Ukoo wa Moses Machali una matatizo ya Akili na Ndio Maana Mbatia anatumia mwanya huo kujinufaisha!Moses Machali akiwa darasa la tano alilazwa Milembe na kama anabisha nitaweka hapa.Baba yake Mzee Machali yupo Milembe hadi sasa hivi.Mtoto wake Moses Machali yupo Milembe mpaka sasa amelelazwa kwa utindio wa Ubongo .Mdogo wake Moses Machali yupo Kasulu anavaa Chupi kichwani!.Sasa wana Jf sisi sote ni great thinker najua humu wapo waliokaribu na Mh Machali,muulizeni .!!Tunaweza kuwa tunachangia thread ya mawazo ya mtu mwehu!

Unaweza kuthibitishia kuwa na wewe siyo mwehu kwa jambo hili la kumdhalilisha mwenzio badala ya kuzungumzia hoja?
 
Kwa nini usikemee Wajumbe wa Nec waliompa Mbatia siku 21 na hata wenyeviti wa mikoa Kigoma, Mbeya, Zanzibar, Dodoma.
K
Mwamakula (huenda ndio wewe King King, maana naona nyote badala ya jina James mnaadika Jemus, kudhihirisha mlivyojaa hila) Katika chama cha NCCR-Mageuzi hakuna watu wanaoitwa wenyeviti wa mikoa. Hao unaowasikia katika vyombo vya habari ni wafuasi wa mtu anayetaka kunyakua madaraka kinyume na katiba. Mwambieni asome katika ya NCCR, akuonesheni kama kuna uhalali wa hicho anachotaka kufanya. Hujuma yake kwa kuwa yatoka kwa mwovu, mtahadharisheni itampa tiketi ya jehanum. Tamaa yake ya madaraka itampeleka pabaya.
 
Ukoo wa Moses Machali una matatizo ya Akili na Ndio Maana Mbatia anatumia mwanya huo kujinufaisha!Moses Machali akiwa darasa la tano alilazwa Milembe na kama anabisha nitaweka hapa.Baba yake Mzee Machali yupo Milembe hadi sasa hivi.Mtoto wake Moses Machali yupo Milembe mpaka sasa amelelazwa kwa utindio wa Ubongo .Mdogo wake Moses Machali yupo Kasulu anavaa Chupi kichwani!.Sasa wana Jf sisi sote ni great thinker najua humu wapo waliokaribu na Mh Machali,muulizeni .!!Tunaweza kuwa tunachangia thread ya mawazo ya mtu mwehu!
Mkuu that family history has post me into hibernation....later.
 
Jemus Mbatia kabla hajawa mwenyekiti naye alifanya mapinduzi sasa ni wakati wake kupinduliwa kwani ni Kibaraka wa CCM

Acha uongo, Mbatia aligombea kihalali katika uchaguzi halali wa kikatiba na akashinda.
 
NC CR ni Chama cha Umma na si Mbatia pekee, sisi wadau tunapaswa kukosoa vyama vyote kama alivyofanya KingKING,AMEKOSOA cdm,ccm,na cuf ,sasa kama unahoja jibu?.Kama Mbatia kakutuma mwambie nina taarifa za yeye kuhamisha pesa Benk CRDB mbezi Beach na uchafu wote utakuwa hapa!Tunataka ibirisi atoke halafu wewe unamulinda!.
Wewe unaona ni sawa huyu King King anavyomdhalilisha mama wa watu pasipo sababu?
Kama unachosema ni ukweli, weka huo ushahidi popote unapotaka. Signatories wa accounts za NCCR wanajulikana na mwenyekiti sio mmoja wao. Kama kahamisha au kashawishi kuhamishwa kwa hizo pesa, na kama ni za chama basi signatories wanahusika moja kwa moja, akiwemo huyo mmoja wa wanaoutaka uenyekiti. Tena unachelewa, weka ushahidi tuwashughulikie, kama ni shetani tumg'oe na mapepo yake.
 
Huyo akijidanganya kujiuzuru ajue ndio kifo chake kisiasa kitafika.
 
Machali angeonekana ana busara sana kama angesema atagombea kuhakikisha anawashinda hao anaowataja kuwa hawafai. Amechaguliwa na watu wa kasulu ambao zaidi ya asilimia tisini hawana kadi ya chama chochote sasa kuacha ubunge kwa hoja ya chama ni umasikini wa mawazo. Lakini pia mwambie mbatia afute kesi ya kawe aliyotumwa na makamba kuhakikisha ccm inapora jimbo hilo. Hivi amekuwa mshindi watatu kwa kupigwa na wanawake wa cdm na ccm haoni aibu kufungua kesi?mambo haya ndio yanatukera wananchi wa kawaida hata kumwona kuwa ni kibaraka wa ccm. Dr slaa alitangaza orodha ya mafisadi mbatia akasema watz wote ni mafisadi isipokuwa wanatofautiana viwango hivi huoni huyu mbatia ni kibaraka? We unajua hela za uchaguzi wa tarime zilitoka wapi? We unajua sababu ya mbatia kuweka pingamizi zanzibar kuhakikisha cuf haikatishi mwaka 2003? We tetea wananchi. Achana na mbatia. Sisieumu wamemtumia mpaka wamechoka. Mimi sijui upeo na dhamira ya kafulila lakini kama kweli anataka na hafai gombea hata wewe au mshawishi mtu mwingine lakini msibaki na mbatia. Ni liability.
 
........heri mimi sijasema!!!! haya ya nccr yangekuwa ya cuf tungesema alhamundurulah,
 
Jamani nyie mwamjua mbatia vizuri. Ajulikana kwa ucameron. Huwezi jua kampa machali style gani hata ataka kususa ubunge kuliko kumkosa.
 
February, posts za hivi si za mtu wa aiba yako, unajitumbukiza usikostahili.
 
malumbano ya namna hii ndiyo yanayo ua upinzani Tz na kuipa nafasi CCM kuendelea kutawala
 
Jemus Mbatia kabla hajawa mwenyekiti naye alifanya mapinduzi sasa ni wakati wake kupinduliwa kwani ni Kibaraka wa CCM

Mwamakula......nimekuwa nikifuatilia post zako, mambo kadhaa nimegundua. Kwanza lafudhi yako inayoendana na maandishi yako inanipa picha wewe si mtanzania, ni Mrundi na kwa sababu hiyo i can sense wewe ni Mkosamali coz i once listen to your interview na ku-notice hilo. 2nd huna lugha za kistaarabu katika kujenga hoja, bali umekuwa ukitishia tuu kutoa mambo personal ya wale unao wa-attack something i doubt kama unauwezo nayo hayo unayodai kuyaanika. Angalia sana tusi-dig sana na kufuatilia profile yako pia. Better urge kwa kutoa hoja za msingi, na si kurudiarudia yale yale kila wakati.
I will be back for/to you.
 
Mkuu Banzi, style ya Mwamakula ndio hiyo hiyo ya King King, zamani akijiita King Cobra.
 
Mbatia umepoteza dira..ume2miwa na CCM na sasa wa2 wameshtuka..kama wewe c kibaraka kwann bdo unang'ang'ania kesi dhidi ya Mdee? Tafuta kazi nyingine maana siasa imekushnda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom