Macbook Air Imeibiwa Inatafutwa: Dau Laki 5

ComputersDAR

JF-Expert Member
Jan 21, 2013
213
242
Wana JF salaam. Naombeni msaada tafadhali kwa yeyote mwenye uwezo na uwelewa ili kuipata Macbook Air yangu ambayo iliibiwa nyumbani Dar es Salaam mwishoni wa mwezi Aprili 2023. Bahati mbaya, sikufanya icloud “Find My” settings ili niweze ku track hii Macbook.

Macbook Air ina serial number FVFH51UKQ6L5. Rangi ni Space Gray. Mwizi aliiba na box lake. Niliinunua maduka ya Apple nje ya Mlimani City mwaka 2022 na warranty card ninayo kama ushahidi wa ununuzi.

Kwa yeyote atakayeweza kunipa taarifa ya kupatikana kwa hii Macbook, nitamlipa laki 5 cash. Mwenye taarifa anifuate DM. Asanteni
 
Wana JF salaam. Naombeni msaada tafadhali kwa yeyote mwenye uwezo na uwelewa ili kuipata Macbook Air yangu ambayo iliibiwa nyumbani Dar es Salaam mwishoni wa mwezi Aprili 2023. Bahati mbaya, sikufanya icloud “Find My” settings ili niweze ku track hii Macbook.

Macbook Air ina serial number FVFH51UKQ6L5. Niliinunua maduka ya Apple nje ya Mlimani City mwaka 2022 na warranty card ninayo kama ushahidi wa ununuzi.

Kwa yeyote atakayeweza kunipa taarifa ya kupatikana kwa hii Macbook, nitamlipa laki 5 cash. Mwenye taarifa anifuate DM. Asanteni
Imepotpotelea mazingira ya wap
 
Sikuwepo.
aisee pole sana, kama aliiba na boksi maana yake ni mzoefu pia kwenye kuiba vitu kama hivyo, na kama mzoefu maana yake anajua pia namna ya kuipoteza karibu na alipo iba, kama anajua hilo, basi pia kunauwezekano pia isiwepo hata wilaya ama mkoa uliopo wewe, anza na platform zote za ndani ambazo zinzdeal na uuzaji wa vitu used, rudi mtaani kwako na mtaa wa jirani kujua machimbo ya vitu vya wizi... mara nyingi huwa wana mtu wao ambaye ni kama wanakusanya vitu kwake... mwisho hukuwa na haja ya kuweka serial number za hiyo mashine humu
 
Asante kwa ushauri wako mwema. Nimeweka serial number kwa sababu ya utambuzi. Huyu ni mwizi mzoefu kama unavyosema. Niliona alijaribu ku login kwenye gmail account yangu kutumia vpn lkn nilimwahi na kubadilisha password. Serial number ndiyo itasaidia kuitambua hiyo macbook, au una maoni tofauti? Hiyo macbook itaishia kariakoo kwa jinsi ninavyojua. Huku napoishi hakuna wanaouza vitu kama hivyo. Ningejua angalau Airport ID (MAC address) ingesaidia. Lkn kasepa na box. MAC address huwa inaandikwa kwenye lebo kwenye original box.
 
Pole sana

Hiyo laki 5 imarisha ulinzi unapoishi, kuipata hiyo laptop labda umpate aliyeiba.
 
Duu pole sana! Ila usikate tamaa meanwhile nunua Dell au Lonovo kuendeleza kazi zako, then tafuta mganga maarufu atakusaidia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom