Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,880
- 2,761
- Thread starter
- #21
eti wamefanya legislative forecast ili nxt time wasije kusumbuka tena kupanuakama ni kubwa kuliko la uingereza na la kenya kulinganisha idadi ya wabunge wanapokuwa bungeni tunakosea. Ni lazima seats zetu nyingi zitaonekana zipo wazi.