Jamii ambayo inaweza kuwa ukaribu na watu ni wachina tu

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,739
Wachina ndio wanaweza kwenda afrika na kuishi sawa na waliopo hapo.
Najaribu kutafuta historia ya hapa tanzania kipindi cha ujenzi wa reli waliishia wapi.
Kwa kenya karne ya nyuma wachina waliofika hapo wameacha vizazi.
Hata historia ya kilwa inadaiwa wachina walifika na kufanya biashara.
 
Wachina ni wafanyabiashara wazuri sana toka enzi za Qing dynasty.

Wewe hauelewi chochote wewe. kinyonga akita kula mdudu anabadirika kuwa rangi ya majani ili mdudu aone ni jani kumbe ndio mwisho wake.

Hamna mtu hatari kama mchina.

Kama vile wanvyotuita wapumbavu na nyani.

Basi hawa nao ni mashetani.

Hauwezi linganisha moyo wa mchina na mzungu, angalau mzungu

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Mchina haji kulazimisha ufate dini yake.ila hawa wazungu na waarabu ni kero
 
Wachina ndio wanaweza kwenda afrika na kuishi sawa na waliopo hapo.
Najaribu kutafuta historia ya hapa tanzania kipindi cha ujenzi wa reli waliishia wapi.
Kwa kenya karne ya nyuma wachina waliofika hapo wameacha vizazi.
Hata historia ya kilwa inadaiwa wachina walifika na kufanya biashara.
Machina ni watu wabaya sana sana hawana UTU hata ukawafanyia kitu gani si dhani kama unaweza kuishi China uswazi kwao kama hapa bongo .
 
Kuna radiki yangu yuko China kitambo sana na kaoa na kuzaa na mchina na maisha yako poa tu
 
Wewe hauelewi chochote wewe. kinyonga akita kula mdudu anabadirika kuwa rangi ya majani ili mdudu aone ni jani kumbe ndio mwisho wake.

Hamna mtu hatari kama mchina.

Kama vile wanvyotuita wapumbavu na nyani.

Basi hawa nao ni mashetani.

Hauwezi linganisha moyo wa mchina na mzungu, angalau mzungu

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Mchina alimfanyia nani mambo ya ukoloni na kulazimisha imani zao?
 
Wachina nawajua kimndukumndunku
1 kwanza wanaishi maisha ya aina yoyote nlikua nao pwani hata kwenye maboksi tulilala nao sana kazi juani tunashinda nae na Kuna muda tunaenda kinvulini tunaliacha juani linadrill miamba na Wala hamaindi Wala nini
2 hata mademu wa kibongo wanawapenda sana ukienda lugoba kwa macrushers mapolini Huko utakutana na watoto engine wa kichina wamezaa na wakwere, vitoto vishakua vichafu vichafu unakuta viko na watoto wa kimasai vinachunga mbuzi.
3 sio wachoyo wengi wao ukifanya nae kazi poa akienda kwao anarudi na zawadi yako
4 hawajitengi Kuna mmoja nlikua nakunywa nae supu ya ngombe kwa mama ntilie kariakoo kimgahawa kichafuchafu lakini na yeye anajaa pale

Kiufupi mchina no Kama msukuma popote kambi. Ila kwa uchafu wanaongoza ni wachafu balaa Hadi mbwa na paka unakuta wanazurura jikoni na wanalamba lamba vyombo wanavyotumia Wala hata hawajali
 
wachina ni jamii ambayo imetawaliwa pia,tena haikuchukua uhuru kipindi kirefu tofauti na sisi ni miaka ile ile.
na kingine ni msoto wa maisha,mchina ni moja ya jamii ambazo zimepitia shida nyingi,hawa kabla ya uhuru walipigwa mafuriko yakawaua zaidi ya watu milioni 3,watu milioni 3 miaka ile walikuwa wengi sana.baadae wakaja kutandikwa njaa wakafa zaidi ya milioni 15,baada ya hapo maisha ya mchina yamekuwa hayana msamiati wowote zaidi ya kazi kazi.
vinachukia sana watu goi goi.
 
Wachina nawajua kimndukumndunku
1 kwanza wanaishi maisha ya aina yoyote nlikua nao pwani hata kwenye maboksi tulilala nao sana kazi juani tunashinda nae na Kuna muda tunaenda kinvulini tunaliacha juani linadrill miamba na Wala hamaindi Wala nini
2 hata mademu wa kibongo wanawapenda sana ukienda lugoba kwa macrushers mapolini Huko utakutana na watoto engine wa kichina wamezaa na wakwere, vitoto vishakua vichafu vichafu unakuta viko na watoto wa kimasai vinachunga mbuzi.
3 sio wachoyo wengi wao ukifanya nae kazi poa akienda kwao anarudi na zawadi yako
4 hawajitengi Kuna mmoja nlikua nakunywa nae supu ya ngombe kwa mama ntilie kariakoo kimgahawa kichafuchafu lakini na yeye anajaa pale

Kiufupi mchina no Kama msukuma popote kambi. Ila kwa uchafu wanaongoza ni wachafu balaa Hadi mbwa na paka unakuta wanazurura jikoni na wanalamba lamba vyombo wanavyotumia Wala hata hawajali
Kwenye miradi ya ujenzi watoto wa kichina wameachwa wengi sana
 
wachina wengi Tanzania ni Wapelelezi wengi hawajui na tuna tabia yakutowatilia shaka kutokana wamefanya miradi mingi ila ukweli ndio huo
 
Back
Top Bottom