Mabunge yetu

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,876
2,748
Picha-no-4.jpg

Hapo ni bungeni Tanzania







06_11_thgmc6.jpg

Hapa ni bungeni TZ pia

KenyaParlimentImage10.jpg

hapa ni Kenya



85357fb6170e3f3e1a05e64ddd5c_grande.jpg

Hizi si picha za ukutani. Ni wabunge wa Kenya wako kikaoni




britishparliament.jpg


Hapa ni Uingereza. Si karne ya 18, ni ya 21.
 
Ndo Maana Walio wengi Nadhani Hawana uwezo wa kufikiria ukiacha Wachache sana waliopo mule.

Alawansi
Mishahara
Maviti Makubwa
Mashangingi

Yote hii ni kuyafanya yasahau matatizo ya Nchi!
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
ni takrima hiyo kuwafanya wasihoji hata yale ya msingi, japo baadhi wameshaanza kuamka sasa. mabunge ya wenzetu wapo kikazi zaidi na ndio maana kwenye mabunge yao hamna luxury zilizopo kwetu
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Hivi nani aliyeleta akili ya kuweka rangi za bendera kwenye zulia ? ndio maana mambo yanaenda shaghalabaghala.
 
Don't forget pal, we Tanzanias are tallented with highest degree of laziness! Ndiyo maana tunafikiria starehe tu badala ya uchapa kazi!
 
Ina maana wabunge wetu ni wachache sana au bunge letu ni kubwa sana?
 
Don't forget pal, we Tanzanias are tallented with highest degree of laziness! Ndiyo maana tunafikiria starehe tu badala ya uchapa kazi!

The Same Tanzanians are Called Hard workers in Foreign Countries compared to any other workers in EA
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
ndio maana wabunge wetu wanageuza viti vyao kuwa vitanda-maana ingekuwa wanabanana kama wenzao,ingekuwa ngumu kulala bungeni maana lazima umlalie mwenzio-na ukifwatilia vikao vya bunge vya kenya na uingereza-wanabishana kwa hoja vizuri sana-bunge linakuwa linachangamka-si baadhi ya hawa wa tz kila kila kitu wanaumnga mkono
 
Hahahahahahahahahaaaaaaa!!! Wakenya wamebanana ka vidole vya wanafunzi vinavyokaguliwa asubuhi mstarini. Hapo utalalaje?
 
Nimeipenda sana hii. Kwakweli bunge letu lilivyo linawafanya wabunge wajisahau sana...uwa nachukizwa sana na tabia yao ya kujizungusha kwenye viti utadhani mambo nje ya bunge yanaenda vyema....afu kulivyo na baridi kupitia Air Conditioning hadi wabunge uwa wanajikunyata kama nyau!! Yote ya nini hayo na hali ya hewa ya Idodomya?!?

ndio maana hata wakiwa wanachangia wanabaki kusema naomba hiki naomba kile huku wakisahau hawapo bungeni kuiomba serikali bali wapo kuitaka serikali itekeleze majukumu yake kwa mabosi wake (waTZ).

Uwa naangalia bunge la Kenya, huwezi sikia mbunge anaiomba serikali hata siku moja!! Na walivyobanana, sijawahi kuona mbunge katia bunge lao anasinzia!
 
Tukumbuke kwamba Uingereza ina mabunge mawili (House of Commons na House of Lords).. na hii picha inaonyesha mojawapo.
Ila pia uamuzi wa kudumisha historia ya jengo lao ndio unaofanya wabanane humo ndani..Ni uamuzi wa muda mfefu uliofanywa na waziri mkuu Winston Churchill wakati likijengwa upya baada ya kubomolewa na moto vitani.

Sisi hatuna historia yoyote ya kulinda na hivyo sioni tatizo kuwa na jengo la kisasa.
Ila kama hiyo itasababisha watu walale usingizi au kushawishika kuongeza idadi ya wabunge ili kulijaza basi tutakuwa tuna matatizo makubwa.
 
Tukumbuke kwamba Uingereza ina mabunge mawili (House of Commons na House of Lords).. na hii picha inaonyesha mojawapo.Ila pia uamuzi wa kudumisha historia ya jengo lao ndio unaofanya wabanane humo ndani..Ni uamuzi wa muda mfefu uliofanywa na waziri mkuu Winston Churchill wakati likijengwa upya baada ya kubomolewa na moto vitani.Sisi hatuna historia yoyote ya kulinda na hivyo sioni tatizo kuwa na jengo la kisasa.Ila kama hiyo itasababisha watu walale usingizi au kushawishika kuongeza idadi ya wabunge ili kulijaza basi tutakuwa tuna matatizo makubwa.
ndugu, bunge la kwetu ni takrima tosha. Fadhila inapozidi uhuru wa maamuzi nao unanyongwa. Niliwahi soma sehem kuwa, sehem kama habari maelezo haitakiwi kuwa na nakshi sana. Wala hapatakiwi kuwa na viburudani maana hivyo vitawashawishi wanahabari kupindisha maamuzi kwani mlengwa anaweza kutumia mazingira hayo kurubuni
 
...utakuta wakati mbunge mwingine anaongea,,,,,mbunge wa jirani anajizungusha kwenye kitu ili mradi tu aonekane kwenye camera akifanya mapozi ya namna iyo!!
Ni kweli viti vya mabunge ya wenzetu vimekaa kikazi, style ya viti nyao inamfanya mbunge asisinzie ata kidogo maana akifanya hivyo majirani zake wa2 (R & L) or MP's from the 2nd side watamstukia!
 
Ndo Maana Walio wengi Nadhani Hawana uwezo wa kufikiria ukiacha Wachache sana waliopo mule.

Alawansi
Mishahara
Maviti Makubwa
Mashangingi

Yote hii ni kuyafanya yasahau matatizo ya Nchi!
inasikitisha sana wabunge kulala bungeni ni kwasababu ya goodtime wanayopata posho nyingi na mshahara mkubwa WABUNGE ACHENI KULALA TATUENI MATATIZO YA WANANCHI
 
Kuna haja ya kuubadilisha ukumbi wa Bunge letu TZ ukae kikazi zaidi. Umekaa kianasa sana ndio maana wanaotafakali kwa kina ni wengi. Halafu kutwa Bunge halijajaa hivi wanaenda wapi wakati wanatakiwa kuwa Mjengoni?
 
Kwa hilo hata mimi huwa najiuliza sana utakuta nusu ya wabunge viti vyao viko wazi.
Kuna haja ya kuubadilisha ukumbi wa Bunge letu TZ ukae kikazi zaidi. Umekaa kianasa sana ndio maana wanaotafakali kwa kina ni wengi. Halafu kutwa Bunge halijajaa hivi wanaenda wapi wakati wanatakiwa kuwa Mjengoni?
 
Kuna haja ya kuubadilisha ukumbi wa Bunge letu TZ ukae kikazi zaidi. Umekaa kianasa sana ndio maana wanaotafakali kwa kina ni wengi. Halafu kutwa Bunge halijajaa hivi wanaenda wapi wakati wanatakiwa kuwa Mjengoni?
kwa kuwa bado shughuli zote za serikali bado zipo dar, karimjee inawafaa zaidi
 
Tumeshajichanganya, tumeshajenga, acha wakae cha muhim watimize wajibu siyo kuiomba serikali kwa kitu ambacho ni haki yako. Ndio maana baadhi ya haki za raia viongozi huita msaada. Mfano ".... serikali imewasaidia sana wananchi wa Namanyerere kwa kuwapatia barabara ya kiwango cha lami....." Siyo msaada ni haki yao kwa kodi yao
Sema " tunashukuru kwa kuijenga kwa lami, siyo kw kuwasaidia.!
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
bunge letu ni kubwa sana. Idadi ya wabunge si tatizo
kama ni kubwa kuliko la uingereza na la kenya kulinganisha idadi ya wabunge wanapokuwa bungeni tunakosea. Ni lazima seats zetu nyingi zitaonekana zipo wazi.
 
Back
Top Bottom