Maboresho ya Kanda ya Magharibi - CHADEMA

Alfred Daud Pigangoma

JF-Expert Member
Mar 30, 2009
1,826
966
Wadau,

Kama mtakumbuka CHADEMA kwa sasa ipo katika hatua ya kuboresha shughuli za utendaji katika uongozi wa kanda kwa lengo la kurahisisha ushindi wa udiwani, ubunge na hatimae urais.

Leo timu ya CHADEMA kutoka makao makuu ikiongozwa na kamanda wa anga Mh. Freeman Mbowe wapo katika kanda ya Magharibi katika makao makuu yake yaliyopo Tabora.

Muda huu wajumbe wapo katika Baraza la Uongozi la Kanda hii ili kufanikisha zoezi hili. ImageUploadedByJamiiForums1425723411.966494.jpg ImageUploadedByJamiiForums1425723473.736334.jpg ImageUploadedByJamiiForums1425723618.841242.jpg ImageUploadedByJamiiForums1425723642.597402.jpg

Update....
Mwenyekiti Taifa Mh. Freeman Mbowe akitilia msisitizo masuala mbali mbali katika uboreshaji wa kanda.

Update.....
Kikao cha baraza la uongozi la kanda limemalizika sasa tunaelekea uwanja wa Town School....
 
Wadau,

Kama mtakumbuka CHADEMA kwa sasa ipo katika hatua ya kuboresha shughuli za utendaji katika uongozi wa kanda kwa lengo la kurahisisha ushindi wa udiwani, ubunge na hatimae urais.

Leo timu ya CHADEMA kutoka makao makuu ikiongozwa na kamanda wa anga Mh. Freeman Mbowe wapo katika kanda ya Magharibi katika makao makuu yake yaliyopo Tabora.

Muda huu wajumbe wapo katika Baraza la Uongozi la Kanda hii ili kufanikisha zoezi hili.View attachment 232653View attachment 232654View attachment 232655View attachment 232656
Tunawatakia kila la kheri na Mungu awalinde dhidi ya uovu wote uliopangwa!
 
Yes. Chadema na Ukawa Kwa Ujumla Jaribuni Kuwatembela Wahanga wa Mvua ya Mawe( Tonido) ili Kuonyesha sypathes na

Ukomavu wa Kuwajari Wahanga. Tunawaamini na Tunategemea Mtaonyesha Kuguswa na tukio hili baya lililochukua roho za

WaTZ takribani 50 na Uaribifu mkubwa wa mali.

Hatuna wasiwasi na juhudi zenu katika Mikakati ya kulikomboa Taifa kwa mara ya Pili , Ila tuwaone hata kwenye Shida, na hapo ndipo rafiki wa kweli Uonekana.
 
Mkuu kesho kamanda Mbowe atakuwa Kahama, worry out kamanda
 
Yes. Chadema na Ukawa Kwa Ujumla Jaribuni Kuwatembela Wahanga wa Mvua ya Mawe( Tonido) ili Kuonyesha sypathes na

Ukomavu wa Kuwajari Wahanga. Tunawaamini na Tunategemea Mtaonyesha Kuguswa na tukio hili baya lililochukua roho za

WaTZ takribani 50 na Uaribifu mkubwa wa mali.

Hatuna wasiwasi na juhudi zenu katika Mikakati ya kulikomboa Taifa kwa mara ya Pili , Ila tuwaone hata kwenye Shida, na hapo ndipo rafiki wa kweli Uonekana.

Tayari limeshafanyiwa kazi
 
Wadau,

Kama mtakumbuka CHADEMA kwa sasa ipo katika hatua ya kuboresha shughuli za utendaji katika uongozi wa kanda kwa lengo la kurahisisha ushindi wa udiwani, ubunge na hatimae urais.

Leo timu ya CHADEMA kutoka makao makuu ikiongozwa na kamanda wa anga Mh. Freeman Mbowe wapo katika kanda ya Magharibi katika makao makuu yake yaliyopo Tabora.

Muda huu wajumbe wapo katika Baraza la Uongozi la Kanda hii ili kufanikisha zoezi hili.View attachment 232653View attachment 232654View attachment 232655View attachment 232656

Update....
Mwenyekiti Taifa Mh. Freeman Mbowe akitilia msisitizo masuala mbali mbali katika uboreshaji wa kanda.

ImageUploadedByJamiiForums1425739685.045119.jpg

Update.....
Kikao cha baraza la uongozi la kanda limemalizika sasa tunaelekea uwanja wa Town School....

ImageUploadedByJamiiForums1425739628.737097.jpg
Kutoka uwanja wa Town School, Mh. Salum Mwalimu naibu katibu mkuu Zanzibar.
ImageUploadedByJamiiForums1425739959.883919.jpg
 
Update.....

Kamanda wa anga Mh. Freeman Mbowe akimwaga nondo kwa wakati wa Tabora katika viwanja vya Town School.
ImageUploadedByJamiiForums1425740658.015873.jpg
 
Awaeleza wakazi wa Tabora wasishiriki katika kupiga kura ya maoni kwenye katiba ya CCM iliyendekezwa.
Kasema sababu mojawapo ni kuwa haitokani na rasmu ya Warioba ambayo wananchi walitoa maoni Yao.
 
akihutubia katka mkutano wa hadhara ameonya na kuwataka wasitumike kuitenganisha badala yake waiunganishe jamii.
 
Kama mpoto na mwana FA nimeshangaa wao kupangiwa kuinusuru katiba pendekezwa ya maccm kweli kuna wasanii wameamua kua vimeo
 
Ndugu Wadanganyika, EL ni jamii moja na JK
1. ni mgonjwa
2. ni mwizi/jambazi/fisadi
Inakuwaje haiingii akilini mwenu?! Tuache ushabiki wa kijing.a, tutajuta tena kwa miaka 10!
Natamani nihame nchi
 
Edward Lowassa hawezi kukatiza, tutasikia mengi zaidi bado muda haujafika mbona, ila aanze kujipanga kujibu zile dhuluma alizofanya kumzulumumu yule partner wake kibiashara miaka ile akiwa MKURUGENZI PALE ARUSHA, alipoona UPM unanukia alimfuata na kumtuliza kumbe jamaa bado ina muuma mpaka kesho.

Edward unafiwa na shangazi aliyekuela unakodi ndege kuwahi kuzika na kuwahi Dodoma Mwalimu anakuuliza umefikaje unajiuma uma . 1995

Edward umeuza kiwanja kilichokuwepo maeneo karibu na DIT, wahindi wakati ule walikuhonga dolla laki tano $500,000/-
leo wewe watu wakupe nchi common kuwa serious inatosha mzee, mlipomficha mwalimu juu ya hili, aliibuka katika kikao cha CC wakati huo 1995 na cheque inayoonyesha ukweli wa uuzwaji wa kiwanja hicho..........eeehhh leo watu wakupe nchi.

Edward wapo wanajua uswahiba wako na Peter Serukamba, kumbuka Nairobi mlipokuwa hotelini alikuja mtu mmoja Ndugu Jecha alikuja kukuona, alipoingia akakuta mnafanya kale kamchezo haramu ka kaum luti, wewe hukumuona Jecha , ila Serukamba alimuona, na Jecha akarudi nyuma taratibu na kuondoka, ndio maana leo Jecha akikutana na Serukamba adabu na heshima ni kubwa, safari moja Jecha amempigia simu Serukamba akimuomba amuazime 2millioni atampaka baada ya mwezi, hivyo mpaka leo Serukamba hajataka hata kuidai tena ile hela maana anajua.........2008.

Edward ni wewe umeachanisha ndoa ya Batilda Buriani na mume wake 2006, umeachanisha ndoa ya Rosse kamili na muwe Dr Slaa 2009, umeachanisha ndoa ya Betty Mkwassa mara ya kwanza japo sasa wamerudiana kiaina 2007 sijui itakuaje maana na sasa ndio yuko hapo Dodoma mjini na wewe ndio mbunge, sasa unadunda mitaani na Jenista Mhagama mjane wa watu huyu, ukiwa tayari umeshamzalisha Diwani wa vingunguti Bonnah amesoma Diploma yake pale chuo cha Diplomasia kwa taabu na ujauzito wake japo toto kopi kopi na sura lako, limetoka la kimeru meru halisi tena kuliko mwanao Freddy, Pamela.

Edward ulipokuwa PM watu wanakuja mzee kuna A,B,C unawauliza mwanangu anapata nini hapo? kweli wewe tukupe nchi wewe aaaahhhhhhh common it will be not fair.

Edward Mzee Mangula anafiwa na mtoto wake wa kwanza eti kwa kumfariji unapeleka pole ya milioni 40,000,000, sasa sijui ilikuwa ni kejeli au ni nini? maana Mzee Mangula alizikataa zikarudi kwa aibu ukapeleka wewe cheque ya 5,000,000 ambayo Richard Kasesera aliichukua na fedha zikatumika katika msiba tu.

Edward kumbuka ukiwa PM ulitaka serikali itumie magari ya MACEDES BENZ ndio za serikali, kwani ulishaandaliwa dau la $15,000,000milioni, leo wewe kweli tukupe nchi wewe kweli haya bana haya ni machache muda ukifika watafunguka zaidi wanaoipenda nchi hii

Nilikuwa Naelekea Kupona Malaria Yangu ILA Kwa Hii Taarifa Naona Sasa Hivi Nakwenda Kutundukiwa Dripu Hospital Na Presha Imepanda.
 
Back
Top Bottom