Mabomu ya machozi Arusha

Weeee!! Jaribu huko huko unakopatia mkono kwenda kinywani!!
Dogo zomba kawaambie tuko macho zaidi ya mjuavyo nyani weusi nyie!

Tena kwa ari zaidi.
f-mbowepress.jpg
 
Duh! Ama kweli serikali tawala sasa ni dhahiri kabisa inaendeshwa ndivyo sivyo!

Mtu kaua tena aliyeuawa alikukimbilia na kukuomba msamaha halafu bado ukamtoa duniani tu! Na baada ya hilo bado uko huru baada ya masaa kadha ya tukio! Hakika huyu jamaa aliyesababisha hili hata naye kifo kinamstahili.
Hili alilotenda halikubaliki kamwe ktk jamii ya Watanzania
Ngoja tupate na maoni ya memberz!
hao wananchi wamefanya makosa sana, pale walipomuona wangemchinja kama kuku ndio watu wangejifunza matumizi ya silaha, haiwezekani masikini tuwe tunadungukiwa kama vile kunguru...nina hasira hapa huwezi amini...ningekuwepo huko nahisi pangechimbika.
 
Wewe ulikuwepo yote yakijiri au umehadithiwa tu, maana hiki kisa chako kimekaa kipaukwa pakawa, kimepambwa kumfanya mwendesha gari ni Shetani mmoja mbaya sana.

Visa namna hivi huwa siviamni mpaka niipate picha kamili, hii yako siiamini mpaka sasa, sijui baadae.

Labda tufanye umehakikisha kuwa ni kweli, je? ungechangia jambo gani zaidi ya haya uliyoandika?
 
Sitegemei serikali hii na policcm wawe na aibu ama utu. Kama waliweza kuwadhulumu wastaafu wa EAC fedha zao ambazo hata hawakutoa wao, itaonea aibu matukio ya kuwaachia watu watambe kwa kuwa wana vijisenti vya kuwanunulia bia jioni?
 
Duh! Ama kweli serikali tawala sasa ni dhahiri kabisa inaendeshwa ndivyo sivyo!

Mtu kaua tena aliyeuawa alikukimbilia na kukuomba msamaha halafu bado ukamtoa duniani tu! Na baada ya hilo bado uko huru baada ya masaa kadha ya tukio! Hakika huyu jamaa aliyesababisha hili hata naye kifo kinamstahili.
Hili alilotenda halikubaliki kamwe ktk jamii ya Watanzania!

Ngoja tupate na maoni ya memberz!

Upo sahihi kamanda, muda huu ndiyo tunatoka kwenye mazishi ya yule jamaa ailyeuawa, na watu walikuwa wengi sana, na kilichowafanya watu wawe wengi kwenye ule msiba ule siyo umaarufu wa marehemu, bali kuachiwa huru kwa muuaji na mabomu ya polisi.
 
Hela ya Afgem hiyo, na utakuta muuaji ni mgeni tu kaja juzi juzi arusha.

Nisamehewe lakini ntamlaumu sana Mheshimiwa Marehemu Solo Sumari (MB) R.I.P, yeye alipewa hii deal ya kuwapeleka vijana wa kimeru samax enzi hizo akaamua kuwatoa vijana wengine mikoani kwa rushwa. Leo hii wanashika hela ya vicherema kwa kaburu wanaua watu hovyo, wanadharau polisi sana sana traffics, uzinzi etc.

Leo wanaua, hii sio mara ya kwanza, wala ya pili.

Na cruiser zao zina vibandiko/peperushi vya CCM.
 
aliyeua ni fundi garage maeneo ya sakina Arusha moden
 
Hela ya Afgem hiyo, na utakuta muuaji ni mgeni tu kaja juzi juzi arusha.

Nisamehewe lakini ntamlaumu sana Mheshimiwa Marehemu Solo Sumari (MB) R.I.P, yeye alipewa hii deal ya kuwapeleka vijana wa kimeru samax enzi hizo akaamua kuwatoa vijana wengine mikoani kwa rushwa. Leo hii wanashika hela ya vicherema kwa kaburu wanaua watu hovyo, wanadharau polisi sana sana traffics, uzinzi etc.

Leo wanaua, hii sio mara ya kwanza, wala ya pili.

Na cruiser zao zina vibandiko/peperushi vya CCM.

Mkuu muuaji ni mwenyeji wa kilimanjaro
 
Back
Top Bottom